Elections 2010 Majibu ya Chadema baada ya Uchaguzi wa Igunga

Mzee wa Posho

Senior Member
Jul 14, 2011
160
13
1. Ni vigumu kuchukua jimbo lillilokuwa linashikiriwa na Chama Kingine
2. Kulikuwa na Ukiukwaji Mkubwa wa Sheria za Uchaguzi
3. Kumefanyika Uchakachua Mkubwa sana,kura za Chadema zimeibiwa
4. Msimamizi wa Uchaguzi kapendelea sana CCM
5. Vijana wetu tuliowatoa Tarime na Bavicha hawakua makini
6.Kitendo cha CUF kusimamisha mgombea kimegawa kura hasa za Chadema
7.Watu wa Igunga bado hawajui Mageuzi ya Kweli
8.Mgombea wetu alikua hana sifa za kutosha!

Great thinkers huonesha njia mwafaka pale penye kutatiza.je hizo sababu wewe upande wako uko wapi na je kipi kifanyike? Je umeanzisha thread ili tujadili au kuchangia nini.Shule yako isiishie kwenye vyeti ulivyonavyo nenda mbali zaidi. Great thinkers huonesha njia na si kuanza thread tu ili mradi tu kuonekana umeanzisha mjadala. Chambua hoja ili wachangiaje tupate mahala pa kutofautiana au kukubaliana.

Sasa hapo kuna sababu ya kufanya uchaguzi?
Tuambie na ccm wakipigwa chini Igunga watakuja na jibu gani?

1. Kifo cha Sheikh Yahya kina impact kubwa kwa sisiem
2. Kumbe Rostam ndiye katuua
3. CHADEMA wachonganishi, wametusingizia mafisadi mpaka watu wametunyima kura
4. Makamba alikuwa mtu muhimu
5. Mafuta ya taa yametugharimu
6. Tujipe moyo 2015 tutamsimamisha mwaarabu

Nionavyo mimi,CDM kushinda itakuwa vigumu kwa sababu kuu moja ambayo ni kwamba CCM wanajiandaa kutibu majeraha waliyonayo ndani ya chama chao,najua kwa sasa kamati ya ufundi ikiongozwa na mtalaam mkama iko kazini ikifanya situational analysis.Mbinu zote zitatumiwa pamoja na wizi wa waziwazi na vitisho vya kutosha kwa sababu wana dola.Hivi wakiiba kura au kumlazimisha mkurugenzi atangaze vinginevyo kuna yoyote atakayevumilia kufuatilia? jibu hakuna,nawafaham watanzania bado waoga kiasi kwamba kama ni maandamano yataishia siku moja tu ambapo watu kadhaa watakufa na viongozi wa CDM WATAKAMATWA NA HABARI KUISHIA HAPO na kuwacha CCM wakijigamba kupata ushindi wa kishindo.Kwani Arusha ilikuwaje? kwa hyo mi nawaonea huruma wapinzani kwa sababu wanashindana na mbogo aliyejeruhiwa anayejaribu kutibu majeraha yake

CHADEMA kuchukua jimbo la Igunga will be a very good bonus. Lakini kitendo cha CHADEMA kuwa na uwezo/uthubutu wa kusimamisha mgombea kwenye kisiki cha CCM kwangu mimi inatosha kabisa. Huko nyuma situation kama hii ungekuta CCM wanatoa maneno ya kejeli dhidi ya vyama vya upinzani lakini sasa hivi wameshika adabu maana wanaume wameingia kazini. For years CCM wamekuwa kama sikio la kufa-hawasikii na naweza kusema wamekuwa very arrogant. That's why I like what CHADEMA is doing - teach ccm a lesson that 'cheo ni dhamana' and no political party has the title deed ya Tanzania. You mess up, & you're thrown to the dogs!

GO GO CHADEMA.

Guys, sio kukaa ofisini na kutabiri kilamtu kwa nafasi yake na uwezo wake ajitahidi kuelimisha tusije pata fisadi au pandikizi

acha ujinga!

ujinga gani wakati jamaa anasema ukweli sasa hivi kinachotakiwa ni cdm kuwa makini na kuachana na tamaa na uroho wa madaraka..

mpaka kesho sina imani na vyama vya siasa tena kwa kile kilichotekea kwenye bajeti ya wizara ya uchukuzi..again i'm fed up with tz politiksi..

CDM kushinda igunga itategemea ni kwa kiasi gani wamelemewa na ufisadi wa CCM, kama wanaridhika na ufisadi huu ni wajibu wao kubaki na ccm na mateso yao kwa zaidi ya miaka 50. Wakiwa wamechoka na mateso ya miaka 50 tokanayo na uongozi wa CCM wataamua kubadilisha historia yao kwa kuchagua CDM.

Sasa hapo kuna sababu ya kufanya uchaguzi?

Tuambie na ccm wakipigwa chini Igunga watakuja na jibu gani?

1. Kifo cha Sheikh Yahya kina impact kubwa kwa sisiem

2. Kumbe Rostam ndiye katuua

3. CHADEMA wachonganishi, wametusingizia mafisadi mpaka watu wametunyima kura

4. Makamba alikuwa mtu muhimu

5. Mafuta ya taa yametugharimu

6. Tujipe moyo 2015 tutamsimamisha mwaarabu

Kazi ipo ati!

kweli wazee wa magamba a.k.a wazee wa maamuzi magumu hawashindwi kutuambia walipa kodi upupu huu!

1. Ni vigumu kuchukua jimbo lillilokuwa linashikiriwa na chama kingine
2. Kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi
3. Kumefanyika uchakachua mkubwa sana,kura za chadema zimeibiwa
4. Msimamizi wa uchaguzi kapendelea sana ccm
5. Vijana wetu tuliowatoa tarime na bavicha hawakua makini
6.kitendo cha cuf kusimamisha mgombea kimegawa kura hasa za chadema
7.watu wa igunga bado hawajui mageuzi ya kweli
8.mgombea wetu alikua hana sifa za kutosha!

unafukilia ki mn.ge mse nge tu. Na akili zako ni z ku download.

Nionavyo mimi,CDM kushinda itakuwa vigumu kwa sababu kuu moja ambayo ni kwamba CCM wanajiandaa kutibu majeraha waliyonayo ndani ya chama chao,najua kwa sasa kamati ya ufundi ikiongozwa na mtalaam mkama iko kazini ikifanya situational analysis.Mbinu zote zitatumiwa pamoja na wizi wa waziwazi na vitisho vya kutosha kwa sababu wana dola.Hivi wakiiba kura au kumlazimisha mkurugenzi atangaze vinginevyo kuna yoyote atakayevumilia kufuatilia? jibu hakuna,nawafaham watanzania bado waoga kiasi kwamba kama ni maandamano yataishia siku moja tu ambapo watu kadhaa watakufa na viongozi wa CDM WATAKAMATWA NA HABARI KUISHIA HAPO na kuwacha CCM wakijigamba kupata ushindi wa kishindo.Kwani Arusha ilikuwaje? kwa hyo mi nawaonea huruma wapinzani kwa sababu wanashindana na mbogo aliyejeruhiwa anayejaribu kutibu majeraha yake

Nakuunga mkono, wasicheze na Nyati aliyejeruhiwa hugeuka kuwa Mbogo!

Back
Top Bottom