Elections 2010 CCM yatoa Ratiba ya Uchukuaji fomu jimbo la igunga.

woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
chama cha mapinduzi kimetoa ratiba ya uchukuaji wa fomu jimbo la igunga ambapo tarehe 9-8-2011 hadi 13-8-2011 itakuwa ni siku ya kuchukua fomu na kurudisha, tarehe 15-8-2011 itakuwa ni siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi utakao chagua mgombea wa jimbo la igunga. hii ni kwa mujibu wa katibu mwenezi wa taifa-NAPE MNAUYE. TBC, Taarifa ya Habari.
 
haya sasa waingie vitani wapambane na watu wasiokubaliana nao kazi wanayo
 
hili gemu ni mpaka wanaigunga wenyewe wakubaliane na ukweli wa mambo unless otherwise no changes there..
 
Huyu si amekatazwa na bosi wake asiingilie mambo ya Igunga shauri yao acha awavurugie wenzake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom