CCM: Nani akienda Igunga atalikomboa jimbo?

chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,715
533
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
 
Kikwete mwenyewe.

Hapana, nilikua namaanisha Julius Kambarage Nyerere mzee wa ukweli na wala si ma-JK fotokopiz!! Lakini sasa ni bahati mbaya sana kwa CCM kwamba mzee hawezi kwenda huko tena hivyo hatima ya Jimbo la Igunga ndio hivyo ...
 
Igunga bado ni ngome ya CCM; nasikia kuna njaa wakipelekewa chakula cha msaada toka ofisi ya waziri mkuu mchezo unaishia hapo hapo.
 
Uelewa wa IGUNGA kwa wananchi bado mdogo kuna wajinga wengi sana na ndiyo mtaji wa CCM siku zote.
 
wakimpeleka yeyote yule atashinda tu....Igunga pale unagawa khanga tu, kwishney
 
Nadhani Wana-Igunga WASOMI katika vyuo vikuu mbalimbali ndani na nje ya nchi mnasikiliza haya yote ya kutumika kwa khanga, chakula na au ngozi tu nyeupe CCM Magamba kujizawadia jimbo.

Dr Slaa, Prof Lipumba, Mtatiro, Zitto Kabwe, Kamanda wa Machalii Taifa - Mhe Godbless Lema; mnayasoma haya?

wakimpeleka yeyote yule atashinda tu....Igunga pale unagawa khanga tu, kwishney
 
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
mimi naona aende jk mwenyewe.
 
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!

labda makao makuu ya ccm yahamie Igunga kwa muda, lakini waende na viroba vya mahindi, kura zote kwa magamba. hawa jamaa sikuzote wanaangalia sufuria imebeba ugali, bila kufikiria gharama ya kulipia hiyo ugali
 
Hussein Bashe...akipitishwa ATAPITA. Issue ni CUF nani atasimama? Maana CUF ndie mwenye kuamua nani awe mbunge wa Igunga.
 
Dawa ya moto ni moto - wamshushe pale Lowassa kwanza ateme cheche, Baada ya Lowassa Pombe apite awaache hoi, baada ya pombe Pinda na Msosi wa nguvu I mean Mchele sio Ugali tena, baada ya pinda ndo Mzee wiseman Mkama atinge siku za mwisho mwisho na akeshe nao - Kitaeleweka. Aliyejenga nyumba ya Spika kwao asikanyage hapo kabisa wala yule aliyesema sasa yuko jikoni barabara itajengwa. na kale kavuvuzela ka Chama kasiende kabisa kataharibu.
 
mmmmmh kwakweli ngumu kuabiri kwani tumejioea wenewe maeneo mengi ambayo wananchi ni wakawaida ndo mwaka huu upinzani tumechukua zaidi.
 
Kwi, kwi kwi kwi!! Yote haya katika harakati za CCM kwenda kuwapa ripoti Wana-Igunga vipi wenzetu walivyoota MAGAMBA ghafla mara baada ya kifo cha JK - Orijino na inakua vipi zeru zeru wa Uajemi kulitia aibu jimbo kwa kuwa ndiye kabainika kuwa ni GAMBA KUU la ufisadi nchi!!!

Dawa ya moto ni moto - wamshushe pale Lowassa kwanza ateme cheche, Baada ya Lowassa Pombe apite awaache hoi, baada ya pombe Pinda na Msosi wa nguvu I mean Mchele sio Ugali tena, baada ya pinda ndo Mzee wiseman Mkama atinge siku za mwisho mwisho na akeshe nao - Kitaeleweka. Aliyejenga nyumba ya Spika kwao asikanyage hapo kabisa wala yule aliyesema sasa yuko jikoni barabara itajengwa. na kale kavuvuzela ka Chama kasiende kabisa kataharibu.
 
mmmmmh kwakweli ngumu kuabiri kwani tumejioea wenewe maeneo mengi ambayo wananchi ni wakawaida ndo mwaka huu upinzani tumechukua zaidi.
 
mmmmmh kwakweli ngumu kutabiri kwani tumejioea wenyewe maeneo mengi ambayo wananchi ni wakawaida ndo mwaka huu upinzani tumechukua zaidi.
 
mpelekeni kingunge au chenge.... laana nyie....
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
 
Back
Top Bottom