Madiwnai CHADEMA Arusha wamfia Pinda

Kamende

JF-Expert Member
Mar 1, 2008
416
0
JItihada za Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Raymond Mushi kuhakikisha muafaka unaoipendelea serekali na CCM unatetewa kwa bidii zote zimewafikisha madiwani 5 wa CHADEMA kupoteza kadi zao za uanachama.

Kwa hakika habari hii ni chungu sana kwa mtu anayejali safari ya kijasiri ya kisiasa katika vyama makini vya upinzani duniani. lakini kwa hakika kama jinsi ambavyo nililalamika hapa jukwaani kwamba Tatiza la Arusha linatokana na WM PInda na leo ninaweka wazi pia kuwa aliyewaponza madiwani wa CHADEMA ni Waziri Mkuu Pinda mwenyewe.
Hiyo ndiyo nguvu iliyoko nyuma ya madiwani wale.

Tusubiri tuone atawasukuma kufanya nini dhidi ya CHADEMA.
 
Nyota Ndogo

Senior Member
Aug 7, 2011
152

unauliza wafanye nini?

kama wanaona wameonewa wagombee kwa tikiti ya CCM na huyo pinda wao wamuite akawapigie kampeni.

sasa watakula kwa Pinda.

na Chadema lazima kirejeshe Kata zote 5.

shenz kabisa hao madiwani.
 
Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,448
1,500
kWANGU mimi naunga mkono kufukuzwa kwao, uroho wa madaraka umewafikisha hapo walipo. Chadema wawe makini na wanasiasa uchwara wa aina hiyo siku zijazo
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,839
2,000
mkuu kwa kumaliza kabisa ubishi huo wapewe nafasi na ccm wagombee halafu tutajua mtazamo wa wapiga kura
 
Mapujds

JF-Expert Member
May 12, 2011
1,290
1,195
Hawawezi kuwa juu ya chama na huu ni ukomavu mkubwa sana uliooneshwa na chama,sasa kila mtu na mwanachama atajua cdm ni kwa maslahi ya nchi na si tumbo.peopleiz power.
 
plawala

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
626
0
Yah

Tunataka maamuzi magumu kama haya,hatuwezi kuwa na watu wachache wanaojali maslahi yao na kuachwa waendekeze tabia ya Ki -mugabe na Ki -Kibaki

Huo ni mwanzo mzuri kwa CDM,kama kweli hao madiwani wanakubalika wacha turudie uchaguzi tuone kama watapata tena kupitia vyama watakavyohamia
Big up CDM!
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,180
1,250
unauliza wafanye nini?

kama wanaona wameonewa wagombee kwa tikiti ya CCM na huyo pinda wao wamuite akawapigie kampeni.

sasa watakula kwa Pinda.

na Chadema lazima kirejeshe Kata zote 5.

shenz kabisa hao madiwani.
Dawa ya wanafiki ni kuwanyooshea tu, safi sana.
 
Josh Michael

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,525
1,195
Wanavuna walichopanda kwa ubishi wao waliambiwa mapema sana juu ya suala hili na kutubu kwa chama maana huwezi kuwa mbeshi kama hivi na kuona upo juu ya chama
 
Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,925
1,250
Charles mpanda diwani wa kaloleni ataendelea na kazi yake ya kuendesha watalii hawezi siasa!
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,589
2,000
Hongo ilitembea hapo bila shaka!!!! Wamevuna walichopanda.

Tiba
 
Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
Labda Pinda awaambie hao madiwani waende kortini na hakimu/judge atoe zuio (injuction) la kuvuliwa wanachama hadi kesi yao ya msingi isikilizwe. Hivyo si ndiyo huwa kawaida? Na pinda awasaidie kwa hakimu aitoe hiyo injunction.

Haya si ndo siasa chafu za CCM zinavyokwenda?
 
LUBEMA

New Member
Aug 4, 2011
1
0
Hiyo nzuri iwe fundisho kwa wengine tunataka misimamo ya kii
tikadi na si ubabaishaji
unauliza wafanye nini?

Kama wanaona wameonewa wagombee kwa tikiti ya ccm na huyo pinda wao wamuite akawapigie kampeni.

Sasa watakula kwa pinda.

Na chadema lazima kirejeshe kata zote 5.

Shenz kabisa hao madiwani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom