Vitambulisho vya taifa kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitambulisho vya taifa kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by twahil, Aug 6, 2011.

 1. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Katika hotuba ya bajeti ya wizara ya mambo ya ndani kulitajwa kuwa nida iliajiri wafanyajazi 105.

  Ninavyofaham haijaajiri watu hao kwan kupitia sekretariet ya ajira tangu mwezi wa 1 ilipotangaza nafasi za kazi na mwezi wa 3 mwishon kufanya usaili watu hao hawajawahi kuitwa kazini hata matokeo ya usaili hayajawahi kutoka.

  Sasa hizi ndoto za vitambulisho kutolewa mwishon mwa mwaka huu zinatoka wapi?

  Baadhi ya watu waliofanyiwa usaili walikwishasahau na wengine walikwisha ajiliwa sehem zingine.

  Fedha nyingi zilitumika ktk process ya kusaili, je hii si ni kupoteza fedha zetu? Hivi sekretariet ya ajira kusaili watu na kukaa kimya kwa miezi 8 bila kutoa majibu inajenga picha gani kwa watanzania kama sio rushwa?

  Vijana waliuza mifugo yao kuja Dar es Salaam kufanya usaili huo. Huu ujanja uliogubiga mradi wa vitambulisho vya taifa ni ndoto ndoto mradi huo kutimia mwishoni mwa mwaka huu.

  Swali sekretariet ya ajira mmesubiri watu wote wafe mliosaili ndio mtoe majibu? Kwa usali mliofanya tar. 31 mwezi wa 3 mwaka 2011. Sekretariet ya ajira imegeuka kikwazo cha ajira hapa nchini.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thread hii imekaa kihasara na wala hupati kuelewa mwandishi alikusudia kulalamikia ajira aliyoomba na kufanyiwa usaili na bado hajaitwa mpaka sasa, au alikusudia kuonyesha kwamba bila ajira hiyo basi vitambulisho vya kitaifa havitatoka? Mimi nafikiri suala la ajira ni mchakato ambao unahusisha idara na hatua mbalimbali. Lakini hilo halina uhusiano wala haliwezi kuathiri utoaji wa vitmabulisho kwa sababu hawa wangeweza kuhusika katika hatua za mwishoni mwa mradi huu na ninaamini uhusika wao ni wakiutawala zaidi kuliko wa kitaalamu.
   
 3. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Naamini ujumbe umefika.hata kama umepindapinda.mwanangu amefanya usaili amesubiri majibu amechoka sasa.angalau toeni majibu hata kama ayumo nijue pengine pa kumpeleka.kwani idara kuhusika kiasi hicho waliomba idara ya usalama wa taifa kazi?.tusitetee ujinga ndugu.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Eh! I'm just passing, I'll be back soon
   
 5. M

  Maega Senior Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sa kama una sehemu nyngine ya kumpeleka c umpeleke tu mkuu it seems hawaeleweki hao
   
 6. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />

  Mara nyingi ukifanyiwa usaili halafu unaona kimya, ujue wewe ukukidhi,hila nakupongeza kwa kuwa na subira mpaka sasa, lakini nahisi wewe labda sio raia ndio maana ulichinjiwa baharini,pole sana usichoke kununua magazeti na kuendelea kutuma CV sehemu nyingine,
   
Loading...