CHADEMA na madiwani Arushaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na madiwani Arushaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Baba Collin, Aug 5, 2011.

 1. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu mliopo Atown hivi hali ya kisiasa imekaa vipi huko kama kesho kamati kuu ya CHADEMA itaamua kuwafukuza wale madiwani 6 wanaosemekana wamewasaliti Chama? CHADEMA watapona kweli ktk uchaguzi mdogo?
   
 2. mchuziwanyoka

  mchuziwanyoka JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  chama makini kinatoa maamuzi makini kwa mimi sehemu ya kaloleni wanaomba hataatolewe kesho ili wamuweke diwani wa ccm kwa ushauri wangu nadhani wanataka kupaka rangi upepo kwani wanafuga nyoka unga wa kumpa hawana mfano mala anatofautigani na shibuda
   
 3. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mchuziwanyoka sijaipata vizuri thread yako,may you come again please!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wewe bila kuangalia ishu ya kupona kwenye uchaguzi mdogo, unaona walichofanya ni sahihi?
  Wanapaswa kuhukumiwa kwa walichotenda na si aftermath itakayotokea...Ni bora kuwa na madiwani waaminifu wa ccm kuliko kuwa na vigeugeu wa cdm!
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Chama siyo diwani na vipo vyama havina madiwani
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma................
   
 7. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pona ya Chadema,ni viongozi wa ngazi za juu,kuja hapa na kuwaelewesha wananchi!Bila hivyo,hawa jamaa wakiamua kuhamia chama kingine cha upinzani,.....say TLP AU nccr ambako wengine walitoka huko basi wanaweza kurudi madarakani na vigeugeu vyao.PIA KWA HALI YOYOTE ILE CHADEMA KURUDISHA KATA ZOTE NI NGUMU KIDOGO!
   
 8. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  chama ambacho hakina sera ya kutaka kushika hatamu.....hakiwezi kuwa na mwelekeo wowote!unafikiri chadema kisingekuwa na wabunge wala madiwani,kingeonekana km chama mbadala!
   
 9. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hiyo kwenye bold.
   
 10. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Asikudanganye mtu chama ni wanachama hata wakienda NCCR kama hawana wanachama huko wapiga kura watarudishwa na nani.
   
 11. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Chadema Arusha,kipo imara,na kitaendelea kuwa imara tumejidhatiti sana,
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ahsante kiongozi kwa imani na uthabiti wako naamini hawa wasaliti wakiondolewa chama kitakuwa imara zaidi na mshikamano utaongezeka miongoni mwenu. All the best.
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Watimuliwe hao wanafiki kwani wamekosa nidhamu kwa uongozi wa Chama
   
 14. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  HTML:
  
  
  Hizi ni dalii za woga, Wananchi wengi na hasa vijana bado imani yao iko kwa CDM. hata wakiondoka hao sita CDM inabaki kuwa chama imara hapa A town. sana sana Loosers wanabaki kuwa wao kwa sababu walichaguliwa si kutokana na umaarufu wao bali kutokana na umaarufu wa Chama.
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mkuu si nimesikia uongozi wa Arusha umejiuzulu wote?
   
 16. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  Sioni sababu yoyote ya kuendelea kubaki na madiwani waasi ndani ya chama.
  Hatutaki kusikia busara imeamua kwa sababu busara sii katiba ya chama.
  Tanataka tusikie kwa mujibu wa katiba ya chama kifungu NO hiyo hiyo kimemfukuza/bakiza diwani so, so chamani. PERIOD!!

  .
   
 17. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sioni sababu ya Kulea uzembe ulio wazi. Dawa ni kuchukua maamuzi magumu tu. Hv 2005 Chadema ilikuwa na Madiwani wangapi Tanzania nzima? Je CDM ilikufa? Haya matatizo ya Madiwani wa Arusha yataleta usaa ndani ya chama. Dawa ni moja tu kwenda baharini na kuchinja then kisu na gloves unatupa huko huko.....Hicho kiburi watakuwa wanapewa na Magamba tu kwa nia ya kwamba wakifukuzwa wahamie huko then wapewe nafasi ile ile. Potelea mbali CDM ondoeni uozo huo. Mi nadhani wanashindwa kuelewa ya kwamba huo muafaka wao umejaa damu. Na kama wanafahamu basi mlungula umepita kwa njaa zao. What I believe CDM Arusha iko Imara sana. Dawa ni kuondoa MAGUGU KWENYE SHAMBA LAKO TU.
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mfupa uliomshinda fisi mtauweza???
   
 19. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayo ni maoni yako ila jana nilipita mtaa wa philiops bendera za cdm zinapepea kila kona..wana arusha tupo makini sio kama vigeugeu magamba..
   
 20. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Mzito kabwela,Uongozi ulijiuzulu,ila bado chama ni imara,na tunaendelea kuwa imara,
   
Loading...