Tazama wanavyofanya Kenya & new CJ wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazama wanavyofanya Kenya & new CJ wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Aug 6, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  HIVI KWA NINI SERIKALI YETU HAIPENDI TRANSPARENCY? ATUALLY KWA NINI WATANZANIA HATUPENDI TRANSPARENCY?

  INFACT TUNAPENDA SANA KUCHAKACHUA...MPAKA JF NAYO INATUHUMIWA KUCHAKACHUA THREADS ZENYE PUBLIC INTEREST...SIELEWE KWA NINI JF INAMLINDA MTU KAMA MAHINGILA WA BRELA WHY?


  WHY?

  ANYWAY  NATAFUTA BADO VIDEO ZA CONFIRMATION HEARINGS ZA CJ WA KENYA KISHA TULINGANISHE NA NAMNA TUNAVYOWAPATA WATU WETU
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huyu mwandishi angekuwa bongo NDUGAI angekoma naye
  wangekuwa wanamjadili yeye tu bunge kwa kudhalilisha nchi# duh

  na huyo aliyeuliza ARE GAY? mama yangu sijui angefanywa nini?
   
 3. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni kweli CJ wa kenya interview yake na wale wote waliokuwa wanagombea hiyo nafasi ilionyeshwa in public.
   
Loading...