Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumesikia Kikwete anakwenda Marekani tena kusheherekea uhuru wa miaka 50 ya Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Hivi huyu mwanaccm hafahamu au hasomi nchi za marekani na donors wanazungumzia debt na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau Siku chache zilizopita nilisoma thread ya mdau mmoja alieleza kukerwa na na wabunge wengi kuonekana ni wasemaji wa mkoa wa Dar Esalaam. Naam hii ni kero a inatuudhi wengi sijui kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ofisi ya Waziri mkuu imezuia agizo/Tangazo la meya wa Dar kuvunja bodi ya Wakurugenzi wa DDC kwa madai kuwa hana mamlaka hayo kisheria. Awali Masaburi aliivunja ili kupisha uchunguzi wa ufujaji...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Umeme wa Tanesco kupanda Na Cosmas Mlekani 14th August 2011 Hautawagusa wananchi wa kawaida Serikali imesema kuwa italiruhusu Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kupandisha bei ya umeme...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Who is next today in magistrate court - kisutu? We have to get the ball rolling before we cast them out 2010
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Baada ya Ndugu Bashir Mrindoko kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu nimelazimika kuazima andiko la MwanaJF mmoja alipotaka kutukumbusha jambo. Jambo hilo sio lingine ila ripoti ya Mwakyembe (MB)...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa wote mnaosikiliza bunge na hali halisi ya mwenendo wa Wizara ya Nishati na Madini.Jairo alikusanya pesa kuhonga wabunge, tuseme mawaziri hawajui hilo? Na kama Bajeti ikipita, Nini hatima ya...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Chama cha mapinduzi [CCM] wana nia ya dhati kabisa ya kuondoa umaskini nchi hii. Isipokuwa watanzania tumeshindwa kuwasaidia kufikia malengo hayo. Badala yake tumejikita katika kuwashambulia na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Muda si mrefu uliopita bajeti ya Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja ya Shilingi 1.2 Billions imepitishwa na Bunge letu. Mpango maalum wa dharura wa kokomesha mgawo wa umeme uliomo ndani...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Hv sheria ya Tanzania inasemaje juu ya mtu atakayehusika kurekodi cm za watu mbalimbali bila ya ridhaa yao.? Kwa kumbukumbu tu mwezi uliopita gazeti moja huko Uingereza limefungiwa na baadhi ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu enyi watanzania wenzangu mlio ndani na nje ya Tanzania,watanzania ambao kila uchao wanaona afadhali ya jana kulliko ya leo.japo serikali mekuwa ikijisifu kuwa Tanzania inakua kiuchumi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanajamvi: Nawashauri uongozi mkuu wa CDM utangaze wazi hivi sasa kwa kuwapa muda kwamba hadi tarehe fulani viongozi wote wanaotaka kwenda/kurudi CCM wafanye hivyo wao wenyewe, na baada ya hapo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mh. Mbowe ahoji watendaji ambao wanaenda kusimamia mikakati ya dharura kuondoa mgawo wa umeme iliyotolewa na Mh. Ngeleja ilihahi watendaji haohao wametufikisha hapa tulipo na tunawasiwasi nao.
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanaotafuta Uwaziri ni wengi humu ndani na nyie wenyewe mna fahamiana kwa kuwa waswahili wa Pemba Wanajuana kwa vilemba. Hilo ni hitimisho la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Richard Hizza tambwe aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha propaganda na Wilfred Lwakatare ambaye ni mwasisi na alipata kushika nyadhifa tofauti ndani ya CUF kama naibu katibu mkuu...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
nimemsikiliza naibu waziri wa nishati na madini,adam malima akianza hotuba yake.kamshukuru mama yake ambae amechelewa lakini atakuja baadaye,mke wake barafu wa moyo wake kipozeo cha roho...
1 Reactions
85 Replies
6K Views
Nishati na Madini siku 21 zimekwisha Huku Jairo akisukumiwa Tuhuma nyingine jana kama njia na kamtego hivi kupoteza lengo na kuwasahaulisha Watanzania uozo katika Bajeti ya Awali ya Wizara hiyo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
BARAZALA VIJANA LA CHADEMA (BAVICHA) TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI “Sikuya Kimataifa ya Vijana” 12/08/2011 NduguWanahabari, Leotarehe 12/08/2011, ni Siku ya Kimataifa ya Vijana. Siku...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa mjibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania tunayo mihimili mikuu mitatu yaani Serikali kuu, Mahakama na Bunge. Hivi karibuni kuna taarifa kuwa mwekezaji mmoja (Kilimanjaro Kempisk)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tulipofika kama Taifa katika matatizo mengi yasiyo na majibu tunaitaji STRONG MAN na sio TOUGH MAN.Ili mtu huyo atuonyeshe njia ya kujikwamua na kero na shida nyingi zilizo ikumba jamii yetu...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…