Bajeti ya Ngeleja ikipita ndiyo tuseme rushwa ya Jairo haiwahusu?

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Kwa wote mnaosikiliza bunge na hali halisi ya mwenendo wa Wizara ya Nishati na Madini.Jairo alikusanya pesa kuhonga wabunge, tuseme mawaziri hawajui hilo? Na kama Bajeti ikipita, Nini hatima ya mawaziri hawa na Jairo wao??
Tuchangie mawazo wandugu.
 
Budget Imeshapita kwa Kishindo na Ahadi Lukuki za Umeme
Jairo Asamehewe lakini Asitende dhambi tena!
 
Back
Top Bottom