CCM wana nia ya dhati kabisa ya kuondoa umaskini wetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wana nia ya dhati kabisa ya kuondoa umaskini wetu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, May 23, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chama cha mapinduzi [CCM] wana nia ya dhati kabisa ya kuondoa umaskini nchi hii. Isipokuwa watanzania tumeshindwa kuwasaidia kufikia malengo hayo. Badala yake tumejikita katika kuwashambulia na hivi sasa maskini CCM yetu wamebabaika na kuanza kutangatanga kama panya aliyefungiwa kwenye DEMA!!

  JAMANI TUWAPENI NAFASI KWA KUWAPA UWEZO MAANA NIA WANAYO ILA HAWANA UWEZO!!!!
   
 2. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  U must be dreaming! em nitajie mikakati wanayoifanya, na mafanikio yake ni kwa kiwango gani? Labda nianzie tu na " Mabilioni ya Kikwete" na "Mkukuta" mafanikio yake yako wapi?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kama sikusomi vile kama nakusoma vile....baadae
   
 4. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wewe ndio umekwisha na kufilisika kifikra kabisa, yani bado tu unamatumaini na Chama Cha Magamba, acha kututia kichefuchefu na habari zako za kipumbavu. Kibaraka mkubwa wewe!
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  teh teh teh hiki kichekesho peleka gazet la sani sio hapa
   
 6. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,241
  Trophy Points: 280
  eeeh! Kumbe niwewe!? Kwaheri.
   
 7. E

  Eng Mayeye Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenye ufinyu wa fikra watakubeza kwa hili, welevu watakusupport. Labda kama tunataka tuwekeze hadi serikal ndo iman itapanda, ingawa ni utumwa walioupitia babu zetu.
   
 8. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ili muone kwa nini nasema wana nia thabiti, Naanza na moja ya mikakati yao from the latest to the earliest!
  Kama infuatavyo ................................
   
 9. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Am INDEED not dreaming!!!
  Look here:-
  1. In Kilosa they received 10 million to distribute to HIV victims. it was a very difficult task for them!! And they spend 8 million to hold meetings and seminars to learn how to distribute very little money to huuuuuuuuge number of people. You can guess the outcome
  2. JK Spent billions of shillings to promote foreign investiments in our country as a result we have got investors giving best returns like Barrick in Mara killing local like mosquitoes. Chinese doing pet business [biashara za umachinga] at Karikoo, e.t.c
  3. Ministers changing international flights to western and far east seeking foreign aid as a result all the tax collection is used for air ticket and Per DM!
  This is to mention few ......... You can add what you know ................ AND that ......... this is the effort am talking about ................
   
 10. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  daaa naona tuwape nafasi ya kutumia 94 bil za dowans, 47 bil kagoda, meremeta na buzwagi tusiwachunguze..labda kweli wataondoa umaskini maana miaka 34 ya ccm kwao ni kama miezi 34 well done mtoa maada
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  pole saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana hawa watu wana zaidi ya miaka 50 hawajaweza iweje leo waweze
  waswahili wanamsemo "Haikufaa rangi itafaa chokaa"
   
 12. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  MASHIKOLOMAGENI:-
  Hawa CCM tumewapa kuongoza MASHIKOLO MAGENI kwao ndio maana wanahangaika bila kujua nini cha kufanya. Naamini hivi sasa umeona ninazungumzia nini!!!
   
 13. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  CHADEMA wapeni CCM semina elekezi ili wakamilishe ndoto yao ya kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.
   
 14. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mie Mkweche nimetafakari sana bila Majawabu!
  Siku za Karibuni serikali yetu 'tukufu' imeendelea kutueleza mafanikio tuliyopata baada ya Kuwa Huru miaka ya Hamsini tangu 1961,kwa Fikra na mtazamo wangu naona ni mafanikio makubwa sana ila Kinachonikwaza na Kunichanganya mwenzenu mimi Mwa-Mkweche,kwanini Nchi yetu bado ni kati ya nchi Masikini sana Duniani licha ya Mafanikio tunayoambiwa na hata Kuoneshwa na kituo chetu cha Televisheni cha Kitaifa TBC!
  Nikaenda mbali zaidi ki-fikra mbona tumerithi mali nyingi(Rasilimali za Asili) ambazo kimsingi ndio chanzo cha Utajiri wa Taifa Lolote!?
  Nikajihoji Tatizo/Changamoto ni Nini hasa tuwe masikini ndani ya Utajiri!?
  Je,Tatizo ni sisi wananchi ambao tunatakiwa tufanye kazi ili maendeleo yaje(Hapa ni wananchi wote wa mjini na vijijini,wasomi na watu wa kawaida,walioajiriwa na waliojiajiri na wa rika zote)
  Je,Tatizo ni Viongozi wanaotakiwa kutuongoza?(Hapa Uongozi katika ngazi zote kuanzia ngazi ya Kaya hadi Kitaifa)
  Au Sote tunamatizo wananchi na Viongozi!?
  Mwa-Mkweche kwa Unyenyekevu Nawasilisha Jamvini nipate Somo hapa!
   
Loading...