Mbowe, Leo Jumamosi Bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe, Leo Jumamosi Bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by HOJA YANGU, Aug 13, 2011.

 1. H

  HOJA YANGU Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh. Mbowe ahoji watendaji ambao wanaenda kusimamia mikakati ya dharura kuondoa mgawo wa umeme iliyotolewa na Mh. Ngeleja ilihahi watendaji haohao wametufikisha hapa tulipo na tunawasiwasi nao.
   
 2. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hajapewa jibu la kueleweka na waziri.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Alitaka wapewe CDM wasimamie? Bange bana.
   
 4. JAMES MDIMA

  JAMES MDIMA Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ishu ya muheshimiwa Jairo imefikia wapi?
   
 5. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  Acheni kufikiri kwa kutumia visigino vyenu, mmeshindwa kuwa vyuo magamba, Lowassa na chenge Chadema mtaiweza?
   
 6. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Ngeleja alionyesha kujihami mno na nahisi adrenaline zilikuwa nyingi mwilini.
  Hoja ya Mbowe ni ya msingi mno,tunakopa na indirectly tunamuongezea mwananchi mzigo.Hapo hapo mapato ya serikali yatapungua kwa kundoa ushuru kwenye mafuta.
  Ngeleja alikuwa hajawa composed vizuri!!!!!!!!!
   
 7. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  alichouliza mbowe kina umuhimu fulani maana kama watendaji waliopo wametufikisha hapa kwa hiyo wanatakiwa hao watendaji wachakachuliwe ikiwezekana iundwe task force kwa suala zima
   
 8. S

  Shamwile Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja kwa 100%, Peoples.....................................powerrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa juzi Arusha kwenye mkutano wao, anawaambia mateka wake Pro-Cdm, wasiokuwa na fikra.
  Mwezi ujao wataandaa Maandamano kwenda kuvamia Ofisi za Manispaa ya Arusha, kuna kiongozi hapo
   
 10. K

  King kingo JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo serikali ya kisanii tu
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  We kiazi kweli ndo matatizo yenu na wabunge wenu mnashndwa kuelewa kutokana na ukilaza wenu majuha wakubwa nyie!!!
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wee una akili sana.
  [​IMG]

  [​IMG]

   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni sawa na mvinyo mpya kuuweka kwenye vyombo chakavu ukimwagika usije juta umejitakia
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Si mmezoea kufanya uporaji kwenye maandamano yenu yasiokuwa na tija kwa taifa, vibaka wakubwa nyie
   
 15. G

  Gaza Senior Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa hapa wa bange nani wewe ama mbowe kwauelewa wako inavyo onekana umtu wa bange ama una akili za kizee ambazo umezi rithi kwa wa zee wako wenye akili za kitoto acha ushamba
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  CDM-Kata Bana, unaniwekea picha ya Magamba ya nini mimi?
  Nadhani umjui Ritz vizuri unadandia pipe kwa mbele kijana.
  Kwangu mimi CCM na CDM wote ni takataka
   
 17. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  well said.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Na wewe unajionaje
   
 19. S

  Simcaesor Senior Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi kweli hili suala la umeme ndiyo ngeleja amelimaliza na bajeti imepita au mi naota?
   
 20. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo la serikali ya magamba haina fikra enderevu..

  NO MISSION...! NO VISSION...!
   
Loading...