Bajeti Wizara ya Nishati na Madini yapita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti Wizara ya Nishati na Madini yapita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUMBIRI, Aug 13, 2011.

1. TUMBIRI

TUMBIRI JF-Expert Member

#1
Aug 13, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 1,934
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Muda si mrefu uliopita bajeti ya Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja ya Shilingi 1.2 Billions imepitishwa na Bunge letu. Mpango maalum wa dharura wa kokomesha mgawo wa umeme uliomo ndani ya bajeti nao umejadiliwa na kupitishwa. Tunasubiri tena Sound za wizara hii juu ya tatizo hili sugu la umeme. Kila la heri Ngeleja na wenzako.

2. Jeji

Jeji JF-Expert Member

#2
Aug 13, 2011
Joined: Jun 28, 2011
Messages: 1,981
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
tuna watakia kila la kheri, watekeleze yote waliyo ahidi kutatua tatizo sugu la umeme, mradi tu isiwe maneno meeengi pasipo utekelezaji.

3. myhem

myhem JF-Expert Member

#3
Aug 13, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 932
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
Mkuu hapo naona umepitiwa kidogo.Ni 1.2 trillion.
Wasi wasi wangu ni huo mkopo ambao Tanesco wamedhaminiwa na serikali, nahisi kama utatuumiza sisi watumiaji wa umeme kwa kupandisha bei ya umeme

4. mkibunga

mkibunga Senior Member

#4
Aug 13, 2011
Joined: Nov 17, 2010
Messages: 196
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
sisi huku ni giza tumeamka na giza na tumeshinda bila umeme hatujui kinachoendelea sasa kama ingepita kirahisi hivyo inamaana bajeti hiyo imekidhi kelele zote za wabunge ccm je anna kilango amepewa umeme au ataendelea kupewa offer ya chai

5. jouneGwalu

jouneGwalu JF-Expert Member

#5
Aug 13, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 2,680
Likes Received: 62
Trophy Points: 145
Kama ilivyotarajiwa toka awali.....
Tutasikia tu yatokanayo na "dharura hii"

6. TUMBIRI

TUMBIRI JF-Expert Member

#6
Aug 13, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 1,934
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Myhem,
Ni kweli mkuu. Nimepitiwa kidogo jamani. Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ni Shilingi 1.2 Trillions. Tuendelee na mjadala..

7. Michael Scofield

Michael Scofield JF-Expert Member

#7
Aug 13, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 1,218
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Tea offer still going on to mama Kilango........!

8. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#8
Aug 13, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,209
Likes Received: 1,012
Trophy Points: 280
Hebu wataalamu wa mambo ya budget tusaidieni, mkopo kuwepo ndani ya budget vipi?
Maana tumezoea kuambiwa budget ni mapato na matumizi, sasa huu mkopo nao ni pato au?

9. U

Uncle Jei Jei JF-Expert Member

#9
Aug 13, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 1,203
Likes Received: 945
Trophy Points: 280
Utekelezaji mwema Mr.Ngeleja, tunachotaka wananchi ni utekelezaji wa ulichokiongea leo bungeni na si vinginevyo!

10. Bongolander

Bongolander JF-Expert Member

#10
Aug 13, 2011
Joined: Jul 10, 2007
Messages: 4,882
Likes Received: 47
Trophy Points: 135
Kwanza tulishaona kuwa bajeti hii ilitaka kupitishwa kwa rushwa, no doubt kuwa imepitishwa kwa rushwa ambayo sasa hatuijui. lakini ukweli mwingine ni kwamba no matter what they say, umeme hauwapi shida, kwa kuwa wao hawaumii wana majenereta ya maana. Even worse wapiga kura wengi si watumiaji wa umeme, so it is not headache, headache ni kelele za media. Kwanza kwa sasa hali ya kukosekana kwa umeme ni neema kwa baadhi yao. So, nothing significant will change, porojo as usual.

11. F

FJM JF-Expert Member

#11
Aug 13, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
Rais ajae atakuwa na kazi ngumu kuliko ile aliyokuwa nayo Nyerere ya kujenga Taifa baada ya Uhuru. Tanzania ya sasa inanuka madeni. Kama nchi tumekopa mno na bado tunaendelea kukopa! CCM 2015 watakuwa na kaz ngumu sana kueleza wananchi tumefikaje hapo? na wasipokuwa waangalifu kwa mwendo huu wa kukopa wengi watapoteza majimbo.

12. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#12
Aug 13, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 12,030
Likes Received: 2,678
Trophy Points: 280

Hapo tujiandae na ongezeko la bili.

13. a

abduel paul Senior Member

#13
Aug 13, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

madeni, madeni, madeni, madeni mpk wapinzani waogope uongozi, maana itafika wkt kila m2 kugombea urais ni kwenda kufata matatizo,

14. M

Mapujds JF-Expert Member

#14
Aug 13, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Bajeti imekaa kimtegomtego kabisa,ngoja tusubili tuone.

15. a

abduel paul Senior Member

#15
Aug 13, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Swali langu wana JF, Niliwahi kupost thread yangu humu lkn kwa bahati mbaya haikupata pop ya kutosha, lkn kupitia mada hii niulize swali, HIVI KILA MTU HUMU HUWA ANARIDHIKA NA MAJIBU YA MAWAZIRI? kwa masikio yangu leo tena c mara tano pekee, as long as mtu anapata muda wa maswali mawili na jibu utegemea utashi wa Waziri bac ikiwa swali la mwisho la nyongeza likiulizwa kwani budget ya umeme haikuangalia hata kiac kidogo toka vyanzo vya ndani? Jibu ni hakuna tumeangalia na kutathmini mkopo kwa ujumla wake, na hapo swali linakua limejibiwa, hv nyie mnaona sw? Huo ni mfano m1 tu, majibu aliyotoa pinda kuhusu kauli yake ya awali alipozungumzia kuhusu kugusa posho, akapewa swali na Mnyika amejibu mazingaombwe, posho zinamahusiano gani na ghalama za utekelezaji wa sera kwa ujumla? Ina maana kuna wkt watendaji ufikia wkt wakatoa fedha mifukoni? Wana Jf amlioni hili? Hakuna Waziri aliye wahi kushindwa swali.

16. N

Ndinani JF-Expert Member

#16
Aug 13, 2011
Joined: Aug 29, 2010
Messages: 5,413
Likes Received: 734
Trophy Points: 280
Ngeleja na genge lake wamewadanganya wabunge wamepitisha budget na huo ndio mwisho hakuna chochote cha maana watakachofanya kwani mgao utaendelea kama kawa; Mkwele atawachekea chekea wakina Ngeleja na Jairo wake atamrudisha kazini kama katibu mkuu wa wizara ya nishati, hayo ndio matusi anayotutukana huyu mkwele!

17. a

abduel paul Senior Member

#17
Aug 13, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

madeni, madeni, madeni, madeni mpk wapinzani waogope uongozi, maana itafika wkt kila m2 kugombea urais ni kwenda kufata matatizo,

18. Shapu

Shapu JF-Expert Member

#18
Aug 13, 2011
Joined: Jan 17, 2008
Messages: 1,922
Likes Received: 245
Trophy Points: 160
Trust me mgao ambao ulikuwa umetulia kitogo utaendelea kama kawa na mbaya zaidi. Hawa jamaa ovyo tu!

19. Mshiiri

Mshiiri JF-Expert Member

#19
Aug 13, 2011
Joined: Jun 16, 2008
Messages: 1,893
Likes Received: 66
Trophy Points: 145
Billion bajeti gani hiyo hata mimi naweza basi kuendesha wizara ya nishati na madini nyumbani kwa savings zangu hapa US. Sema Trillion bana

20. M

Mapujds JF-Expert Member

#20
Aug 13, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
inaonekana kapewa maana leo kashindwa hata kuongea.

Loading...