Kijembe cha Spika: Wanaotafuta Uwaziri ni wengi na Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijembe cha Spika: Wanaotafuta Uwaziri ni wengi na Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Aug 13, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wanaotafuta Uwaziri ni wengi humu ndani na nyie wenyewe mna fahamiana kwa kuwa waswahili wa Pemba Wanajuana kwa vilemba. Hilo ni hitimisho la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifunga mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini.Hatimae Bunge limepitisha bajeti hiyo iliyokuwa kubwa na nzito kwa Taifa.


  WanaJF kijembe hicho kinamwendea nani? Kwa wanaojua watajuze?

  Nawasilisha
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Warabu wa Pemba hujuana kwa vilemba...
   
 3. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kinawaendea wabunge wa magamba
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  January Makamba.........
   
 6. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Ndio umepatia kwani wabunge wa upinzani kweli hawawezi kuchaguliwa na serikali ya CCM
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sijasema kitu!
   
 8. wende

  wende JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hicho kijembe kinaiindea Wizara ya Nishati na Madini(Ngleja na wenzake). Kwanza amewapongeza wabunge kwa kuipitisha budget hiyo ya Nishati na madini na kwamba kilichabaki sasa ni kwa wizara yenyewe kuitekeleza budget hiyo kwa vitendo. Amesema tangu yeye(speaker) aanze kazi bungeni,hajawahi kuona na wala hakumbuki haya yaliyotokea ktk wizara ya Ngeleja ....ni something very strange kwake ata kwa wengine! Akaongeza kwa kusema,hili liwe fundisho tosha kwa serikali in future.............na ndipo alipohitimisha kwa kijembe hiki..."Wanaotafuta Uwaziri ni wengi humu ndani........"
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Deo Filikunjombe...
   
 10. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kijembe hi kilikuwa kinaenda kwa Mr MEGAWATTS- Ngeleja. Wanamchi hawataki kuona viongozi wenye masihara na maisha ya watu km Ngeleja. Maana yake, nguvu ya umma ikiinguia barabarani, uwaziri hana, kijiti kinaenda kwa mwingine. Wakatekeleze waliyoyasema leo kwa vitendo
   
 11. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwanza huyu mama nae mropokaji tu, wakati anamkaribisha waziri mkuu akasema "Uje ujibu hoja za hao wanaokusingizia" nikashangaa wakati anakuja mkuu mwenyewe akakiri alizungumza, ila hajui kama bajeti ya mwaka huu kuna fungu limetengwa kwa ajili ya ununuzi wa magari.

  Ebu jiulize, waziri mkuu hajui kama wakati wakijadili bajeti ya wizara ya fedha ndio kuna mwerekeo wote wa serikali inachotaka kukifanya kwa mwaka wa fedha. Au alikuwa amelala? kama WASSIRA
   
 12. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kauli ya spika ni kejeli kwa wabunge, basi tu kwa vile ni Bongo, anaweza kupeta nayo.
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 14. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijembe hiki ni cha January Makamba na Filikunjombe kutokana na uchanga wake au unafiki (yeye Spika) juu ya utendaji wa shughuli za serikali. Alidhani kuwa hata kama wizara imeleta utupu bungeni basi wabunge wote wa CCM wangeisupport. Ndo maana amefurahi kumkaribisha bibi kiroboto "mwasura" wake. She is not serious at all.
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Unajua sense of humor ni kipaji mtu kama haujazoea kuwa mtu wa matani ukalazimisha unachokisema kinaonekana ni kituko na dhiaka kwa wenzako... Huyu mama angeendelea tu kuwa kama alivyo, anajaribu kujifanya mtu wa matani na kwa kufanya hivyo anaonekana kituko
   
 16. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  <br />
  <br />
  Alikuwa anachezea chezea vidole vyake.
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo Spika amedanganya kwamba Pinda Hakudanganya...!!!

  Safari bado ni ndefu..
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu mwana dashost karudi hivi alikua wapi kipindi chote au alishindwa kuliendesha bunge kiti kikawa cha moto
   
 19. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Crashwise mbona umetuacha gizani kidogo mdau umemtaja Mbunge ikaishia jina tu,tujuze kwanini yeye?
   
 20. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mdau Tusker mbona unatupatia jina anahusika kivipi?tujuze!!!
   
Loading...