Mwekezaji mwingine akihitaji eneo la Ikulu ili atujengee Ikulu nyingine atapewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwekezaji mwingine akihitaji eneo la Ikulu ili atujengee Ikulu nyingine atapewa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by usininukuu, Aug 13, 2011.

 1. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mjibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania tunayo mihimili mikuu mitatu yaani Serikali kuu, Mahakama na Bunge. Hivi karibuni kuna taarifa kuwa mwekezaji mmoja (Kilimanjaro Kempisk) ameruhusiwa kupanua shughuli zake kwa kuihamisha mahakama ya Rufaa ambayo ndo mahakama kubwa kuliko zote hapa nchini kwa mjibu wa katiba yetu, mahali zilipo ofisi za Jaji mkuu ambae ndie anayeongoza mhimili wa mahakama. Swali langu je mwekezaji mwingine akilihitaji eneo la ikulu ili kupanua shughuliu zake atapewa?
   
Loading...