Hapa nchini kwetu imekuwa ni jambo la kawaida kwa watawala wetu/serikali yetu kutaka kuwaziba midomo watumishi kutotoa "siri" za serikali kulingana na sheria zilizopo. kwa bahati mbaya, mara...
dunia inaposhuhudia anguko la muammar qadaffi, kwa sababu tu wananchi wa nchi yake wamechoka kuona mtu mmoja na familia yake ndiyo watu sahihi wanaopashwa kuitawala Libya.
Ni wasaa sasa kama...
Na Jacob Daffi - Imechapwa 10 August 2011
WAZIRI wa Utawala Bora, Mathias Chikawe na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima wako mbioni kuingiza nchi katika mikataba mitatu mikubwa ya...
Napenda kuchukua nafasi hii kukushauri ewe katibu uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, najua upo katika harakati za kutekeleza azma ya mapinduzi katika chama kama kinavyo julikana.
Ushindi kiduchu...
Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.
Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.
Source...
Minister for Water, Prof Mark Mwandosya
The Minister for Water, Prof Mark Mwandosya, is still undergoing medical treatment at Apollo Hospital in India, where he was admitted about two months...
JK Sahani Moja na Upinzani Hotuba ya Agosti
Watanzania tuna utamaduni wa kushangaa mazuri na kufurahia mabaya kwa kutazama tu anayeyasema ni nani na wakati gani bila kuzingatia anayoyasema yana...
Kuna tetesi kutoka serikalini kuwa kampuni ya TanzaniteOne ya Afrika Kusini inayofaidika na madini ya tanzanite kuliko serikali ya Tanzania na wachimbaji wote wazalendo imemwajiri kwa miaka kadhaa...
Du! Kama tulikuwa na mtu mwenye vision kama za huyu mzee na sasa tunarudi nyuma basi sisi ni worse kuliko waliopigana vita na waliokumbwa na njaa.. Sasa hivi ni ushabiki wa siasa bila kuangalia...
Kwa mfumo wa uongozi wa Tanzania kwa sasa nashauri kila mtu ale urefu wa kamba yake, kwasababu wote wanaotuhumiwa kwa rushwa wanasafishwa na serikal. Ni bora serikali ikahalalisha rushwa katika...
Nimepitia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na nimeshangaa sana pesa nyingi zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya na Uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Bagamoyo, kilometa 80 tu kutoka Dar...
Kijarida cha Kumekucha kimetoka kikiwa na habari za kina kuhusu kuanguka kwa Jiji la Tripoli na vile vile kuhusu sakata la kufukuzwa kwa watumishi wa PPF ambao wanadaiwa kuvujisha habari za...
Nimejaribu kufikiria matatizo ya umeme yanayo likumba taifa letu na mipango ya kuyatatua sioni matumaini huko mbele.
Nimeangalia vyama vya siasa hasa upinzani sioni matumaini yeyote. Bajeti...
chama cha mapinduzi mkoa wa tabora kikiwa kinajiandaa kulikomboa jimbo la igunga leo hii kamati ya utekelezaji uvccm mkoa wa tabora kimemsimamisha uongozi katibu wa chipukizi na uhamasishaji uvccm...
Kufuatia wabunge kumtaja wazi wazi Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa anahusika na udalali wa viwanja vya kujenga mahoteli katika njia za kupita wanyama ndani ya hifadhi ya Ngorongoro akiwa kama...
Mh Zitto Kabwe amesema anawashanga wabunge wanaosimama bungeni na kutetea ama wanaotaka kuongezewa posho kwani wabunge hawa hawawajali watanzania. Kauli hii ameitoa baada ya jana Shibuda kusema...
Aliyetoa tuhumu dhidi ya Msekwa ni mbunge wa CCM na anajulikana yupo upande gani wa gamba.
Tukae mkao wa kula maana mwishoni mwa siku kashfa zote za wana CCM zitaweka hadharani ili tuone nani...
wakuu! waziri wa A.Mashariki Mh. Samweli Six wakati wa kuhitimisha hoja yake bungeni jioni hii, amesema vijana wa kitanzania wanawaza FIESTA, hawafahamu computer.. pia ma secretary hawajui...