kinganola
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 117
- 30
Napenda kuchukua nafasi hii kukushauri ewe katibu uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, najua upo katika harakati za kutekeleza azma ya mapinduzi katika chama kama kinavyo julikana.
Ushindi kiduchu wa asilimia 61 wa uprezidaa mlioupata umeporomoka toka ule wa mwaka 2005 wa asilimia 100,sasa hapo inaonyesha kuna madudu mengi CC imeyafanya na wa Tz wamegutuka na kusepa, kama mmeweza kupoteza asilimia zaidi ya ishirini, kwa hesabu za kawaida tu, mwaka 2015 mkipoteza tena zingine 20, mtapata asilimia 40 au chini ya hapo na ndo itakuwa mwisho wa CCM, sasa bro najua unatumia nguvu kubwa sana kusafisha chama na kuwakomalia vinara wa ufisadi waachie ngazi.
Baba huo moto huuwezi, hiyo vita itakupeleka pabaya,watakumaliza. Uko mmoja wako zaidi ya Mia moja, kama vipi sepa Chama no usalama wako, other wise watakupoteza... Ushauri wa bure,ni mimi mwana CCJ, mi nimesha sepa.