Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa Tanzania wanawaza Fiesta - Samwel Sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE PERFECT, Aug 19, 2011.

 1. THE PERFECT

  THE PERFECT Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu! waziri wa A.Mashariki Mh. Samweli Six wakati wa kuhitimisha hoja yake bungeni jioni hii, amesema vijana wa kitanzania wanawaza FIESTA, hawafahamu computer.. pia ma secretary hawajui kutembea, pia mabinti wa tanzania ukimgusa tu anakuwa mkali wakati wa Kenya ni wachangamfu, wanaomba email za mawaziri waketu wanawaza fiesta. shortly ameniboa ile mbaya
   
 2. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kasema kweli kwa 80% if we want to venture in the market competition we must change our attitudes towards business
   
 3. k

  kajembe JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 756
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Aliyosema ni kweli! Tunapaswa kujirekebisha,hata mambo ya siasa kuna jamaa kibao wanakuambia siasa ya nini hao waliopo waongo wote wanakula wewe tazama maisha yako binafsi,hapo ccm aaaah ndiyo wanatuchakachua kweli! ona kenya wanavyojua haki zao,wameelevuka na matokeo yake hata east africa tukizubaa wao watafaidika tutabaki kulalama tu, mambo mengine yanataka matendo sio maneno tu.

  Mimi naona Sitta alivyosema ni sawa tu, ndiyo maana CHADEMA wanazunguka kufundisha watu, tunaambiwa wanaleta fujo sio kweli na hata Sitta ameunga mkono maandamano kiaina ndiyo maana amesema wataweka watu kila wilaya kuelimisha, lakini ile style CDM ndiyo nzuri ambayo mass inaelimishwa kwa wingi zaidi.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mfano mabinti eg wahaya wachangamfu sana wanaitwa malaya . So kila kitu kinawezwa kutazamwa kwa pnde mbili wa mwansiasa anaweza kusema chochote kufuraisha nafsi yake. teh teh teh . Nimechokoza wahaya
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ........................Kama alisema hivyo,nakubaliana na hili la FIESTA...Hakuna upuuzi,ujinga,ushenzi,upunguani,ufirauni,upumbavu kama huu wa FIESTA...Ni program ya kuongeza maambukizi ya HIV na umalaya...But,sikubaliani na wazo kuwa wanawake wa kitanzania wakubali kushikwashikwa kama malaya wa pale Billcanas...

  Nimewahi kusema hapa JF kuwa viongozi wetu wasitulaumu watanzania kuhusu hii Jumuiya ya Afrika Mashariki...Haya yanayotokea ni zao la wao kutoandaa mazingira ya sisi kujiamini...Utajiamini vipi wakati kila siku elimu yetu inashuka? Wao wanaongea hivyo sababu wamekwisha kula huko juu na wana uhakika wa kuendelea kula..sisi walalahoi tunaambiwa tujihamini tu.....

  Nchi haina umeme wala mafuta(nishati muhimu katika uzalishaji) and then unatuambia tujihamini...wewe SITTA ni mnafiki kabisa,unauma huku unapuliza....
   
 6. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huo ndio ukweli hata kama unauma lazima tubadilishe mtazamo wetu vijana
   
 7. t

  takeurabu JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo hukumuelewa Mh. Waziri zlichosema; amesema kama ifuatavyo:
  1. watanzania tuna tatizo la kuchangamkia fursa kutokana na kutokuwa na maadili yanayomvutia mteja katika biashara
  • kwa mfano wahudumu wa mahotelini wakitanzania wanakosa 'professional smile' na hii ni kweli kabisa wengi wao wako hivyo utakuta badala ya kumchangamkia mteja wao hununa kana kwamba mteja amefanya kosa kuja hapo
  • pia ametolea mfano wa masecretary legelege ambapo hata tembea yao haioneshi kuwa wako busy kwa kazi fulani kama wenzetu
  2. kwenye mikutano ya kitaifa na kimataifa watanzania hawaoni kama ni sehemu ya kubadilishana uzoefu na kuchukua contact ambapo hapa ametolea mfano waziri wa viwanda na biashara alipomalza kutoa mada kwenye moja ya mikutano kama hiyo alizunguukwa na wakenya lukuki wakitaka contact, lakini wa tz ziiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!

  kwa kifupi watanzania bado tumelala katika kuchangamkia fursa; we ukitaka kuprove pita kwenye maofisi ya watu uone ni vituko kwa kwenda mbele, ofisi zimegeuzwa saloon za kutengeneza nywele, kujipodoa, na vijiwe vya kupiga story badala ya kuchapa kazi; watanzania tubadilike!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. E

  Eddie JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa kama ndio ukweli wenyewe mlitaka aseme nini?
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi Waziri ametumia lugha nyepesi kufikisha ujumbe mzito kuwa "watanzania tubadilike, tuwe serious na kazi, tujifunze mbinu za ku survive kwenye ulimwengu wa ajira, biashara etc".

  Mifano ya Fiesta, ugoigoi kwenye kutembea, kutokuwa wachangamfu N.K ni vitu vya kweli vinavyotuzuia kupata fursa. Katumia mifano hii ili kutufanya tuchangamke katika kuelewa tatizo tulilo nalo katika kujitambua na kuelewa.

  Huku kuja na kuhamaki hapa au kulalama kuwa waziri katukosea ni ushahidi tosha ni jinsi gani tusivyokua tayari kubadilika.

  The train is ready to leave..jump on to it or ubakie unashangaa, unalalamika na kuachwa ukiwa mdomo wazi!!
   
 10. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  nampa Six mia kwa mia..ameeleza vzuri,nimependa jns alivostick kwa vijana,ameasa jns vijana wa kitz tunavopaswa kuchangamkia fursa ktk soko la ushndani.Big Up Mzee Sitta
   
 11. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakumaanish wewe, anajua wewe unaifahamu computer ndio maana ni member wa JF.
   
 12. B

  Bunsen Burner Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Well said, and no preservative added!!! Watanzania ndo zetu, tukiambiwa ukweli , huwa tunapenda kurusha ngumi haraka kwa kujifanya tunajua! Eti bongo tambarare! Big up SIX!!!
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sitta is an intrepid character and never misses his words, however, relating youth indolence with FIESTA was rather uncorrelative comparison.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe umeelimika? habu tupe maana ya neno hilo nililokuwekea nyekundu, na ni neno lipi hilo?
   
 15. m

  mfngalo Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kakubore we2 kaongea ukwel m2pu
  mnawaza fiesta 2 hamna vya mana afu mnalialia
  Piga kimya...!
   
 16. m

  mfngalo Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Leo umeongea point ma bro
  Big up!
  Sitta uko juu baba!
   
 17. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mr.The Perfect; next time jaribu kutoa hoja bila kuweka hisia zako mbele. Japo simfagilii 6 siku hizi, lakini aliyoongea leo ni mema tu japo umejaribu kuyapindisha. Jaribu kutengeneza hoja perfect ili tuwe na mijadala perfect; that is the Great Thinkers' Way!
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh lakin kwa upande mwingine ni kweli ka tuntaka kuingia kwenye buz compe mana kuna buz nyingine lazma uwe mchangamfu sio unakuta receptionist kanuuuuuuuuuna uatadhani we ndo umemkera anasahau kua pale yupo ofsini
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  watachangamkaje wakati english yenyewe ni ya ...i was,..i is...iam going yesterday....tujifunze this language of her majesty ndio tunaweza kucompete na waganda na wakenya,..hautasahau kiswahili chako kwa kujifunza hii lugha yao
   
 20. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Serikali yetu ndio imetuondolea kujiaminimbele ya wenzetu,kielimu miundo mbinu ya shule za kata,na anapozungumzia nidhamu,nidhamu ya kijana wa kitanzania ipo juu kuliko kijana yeyota ktk jumuiya,ukarimu ndio usipime,kama lugha ndio kuelimika basi tuna jua kiswahili vizuri kuliko wao cos kiswahili ndio lugha mama ktk jumuiya,kama kiingereza ndio maendeleo wachina na wajapan wasingeshika uchumi wa dunia,utuombe radhi kweli serikali ndio wanatukosea vijana na sio vijana wanajiangusha
   
Loading...