Wenzetu walinzia Bengazi, Sisi tuanzie wapi? Chama kimoja kutawala nchi kwa miaka 50 nao ni udikteta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenzetu walinzia Bengazi, Sisi tuanzie wapi? Chama kimoja kutawala nchi kwa miaka 50 nao ni udikteta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyota Ndogo, Aug 22, 2011.

 1. Nyota Ndogo

  Nyota Ndogo Senior Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dunia inaposhuhudia anguko la muammar qadaffi, kwa sababu tu wananchi wa nchi yake wamechoka kuona mtu mmoja na familia yake ndiyo watu sahihi wanaopashwa kuitawala Libya.

  Ni wasaa sasa kama Waafrika, kama Watanzania kutizama upya aina ya udikteta na unduli tulio nao kama Waafrika. Qaddafi amefanya mengi mazuri kwa Libya: barabara, maji, umeme, elimu, kujenga misikiti na kila aina ya maisha bora kwa ajili ya wananchi wa libya.

  la muhimu kutambua hapa ni kwamba bwana qaddafi amefanya haya si kwa kutoa pesa zake mfukoni: ametumia rasilimali za libya katika kufanikisha haya, jambo ambalo mlibya yeyote mwenye mapenzi mema na uzalendo kwa nchi yake. tatizo ni kuwa bwana huyu alikuwa akiamini kuwa bila yeye libya itayumba, kama magamba wanavyojiaminisha hapa kwetu.

  kwa hapa Tanzania tuko chini ya udikteta. Tofauti na libya, udikteta wa hapa unafanywa na genge la watu wanaojiita chama cha mapinduzi. hawa hawajafanya lolote kwa nchi ikilinganishwa na dikteta-mtu qaddafi. miaka hamsini hatuna umeme, hatuna barabara za maana, hatuna huduma bora za afya na elimu yetu ni bora elimu.


  ccm ni dikteta kama qaddafi au hosni mubarack.

  kuna haja ya kuing'oa ccm kwa njia yoyote ile ili kama taifa tuanze upya.

  tupeane mawazo tufanyeje.

  wenzetu walianzia Bengazi.

  Sisi tuanzie wapi?
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Bengazi yetu inajulikana Mwanza baadae Arusha.
   
 3. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Masaburi hayo yanafanya kazi yake
   
 4. c

  conversant Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  <br />
  <br />
  Nyota ndogo na akili yako pia ni ndogo sasa kwa unavyofikiria tukipigana si tutaharibu hata hivi vichache vinavyotubeba usitake kuiga libya watarecover soon imagine wanaproduce 1.2 mil barrels za oil per day sasa sisi tutauza gnld kufikia hivyo??
  Ushauri watu wamehamasika kujiandikisha kupiga kura fanya bidii kuwashawishi wote watakaojiandikisha wapige kura
  mkuu tukipigana tutazidi kuwa maskini lets find njia bora tujaribu kutumia akili zaidi!
  Tafakari baada ya watu kufa kenya je Raila amefanya nini cha maana tofauti na kibaki mpaka sasa?
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wenye maslahi yao utawajua tu watakuja na mambo ya vifo, hata waziri wa habari Libya alikuwa anatumia picha za watoto na wanawake ku-win sympath ya kimataifa ila watu hawakuangalia hilo... there is a time of no return where war is inevitable.
   
 6. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  This is the most codswallop remark to land JF. Its vacuousness raises suspicions on your discernment capacity. You have put forward an irrelevant debate by comparing scenarios between Libya, where democracy was a precious commodity, and Tanzania which is renowned for its copious freedom of expression and widespread democracy.
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  If so this thread is one sign of freedom of expression....so why call it an irrelevant.
   
 8. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  walio USA wanalianzisha kwa maandamo ya kumpinga matonya.
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Lazima baada ya Qadhaffi yaanze sehemu nyingine humu Africa, tunasubiri kuona ni wapi popote lazima moto utawaka tu! Maana Qadhaffi na watoto wake pia hawakuamini kama maji yange vuka shingo na kukosa wale watoto warembo aliokuwa anazunguka nao kama Nabii Suleman.

  Taarifa nilizo nazo rafiki wakubwa wa Qadhaffi nao wanawindwa kwa udi na uvumba na Tanzania ilikuwa rafiki wa karibu na Qadhaffi sasa sijui kitu gani kitatokea ingawa naona Kikwete kama vile kasoma alama za nyakati kimia kama maji ya mtungi, ana omba mungu siku zikimbie haraka sana amalize muda wake maana amechoka na lawama za kila kukicha.

  Ngoja tuangalie Kenya 2012 baada ya uchaguzi kama pata pona, US an UK wana askali wao kibao hawana pa kuwapereka baada ya vita vya Iraq na release ya afghanistan na kupunguza askali katika operation za Geronimo, lazima watafute vita tu! Kwa nguvu yoyote hawata kubali africa ikae miaka miwili mitatu bila vita.
   
 10. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kikwete akicheka anahisi anatoa mwanga kwa meno yake meupe, sasa hicho ndo kinawamaliza watanzania

  amkeni jamani
   
 11. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaah Mkuu umenichekesha dah haaah haaah.

  Wake up pipoz nchi inamalizwa hii.
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Utawala ni upofu ukishaupata huoni wala husomi historia.......watoto wao huwa hawajifunzi kwa watoto wa viongozi wengi kama wa Mubarak walifanyawaje wanaona ni ndoto kwao kuwafika.....matokeo yake juzi tu Saif Al Islam alikuwa anakula na kulala kwenye presidential palace leo yuko kwenye six by six room.

  Kuhusu marafiki wa Gaddafi wanaojulikana ni Museven, Zuma, Mugabe, Kikwete kuna wa Gabon nimemsahau. Gaddafi alipopoteza marafiki wa ulaya hata baadhi ya nchi za kiaarabu akaona kilichobaki ni kununua marafiki kutoka Afrika, kwa vile alikuwa na pesa alifanikiwa sana ndio maana hadi leo hujasikia nchi yeyote ya Afrika hata AU iliyosema inawatambua waasi waliompindua.

  Kwa habari za uhakika nilizonazo Gaddafi alivisaidia sana kipesa vyama vya ANC na NRA kuingia madarakani sina wasiwasi hata CCM ilikuwa inafadhiliwa ndiyo sababu Kikwete alikuwa karibu sana na huyu jamaa.
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mimi naona tuanzie arusha baada ya zili siku 30 halafu mwanza,mbeya,dar..
   
 14. p

  politiki JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kwanini tusihibukie kutokea bahari ya hindi karibu na ikulu na kuzama ndani kabisa kwa mzee wa kaya
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  bonge la Point mkuu wangu
   
 16. O

  Omr JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Arusha ndio inafaa kuwa HQ yenu, si ndio HQ ya wavuta bangi TZ.
   
 17. O

  Omr JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndio Faida ya kurudia movie mara kumi kumi.
   
 18. n

  niweze JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Why not? Tukianza Mikoani na kupanda juu, kusini na kaskazini unafiki kikwete na wahuni wake wataweza kuzuia haya ... wapo wenye shida wengi na wata-defect really soon.

  It's not that hard.

  Hakuna inchi inaongozwa kwa miaka 50 na chama kimoja na tukafikiri they will respect the dignity ya watanzania ... watanzania we are ready.
   
 19. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  We wadhani Gadaffi ni bingwa eeh? Uko nyuma ya mstari wa breaking news za dunia. Unamcheka Gadaffi au unamfagilia. Mchukue mkeo na watoto wako mkalianzishe tutakuwa nyuma yenu
   
 20. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tukianzia Bengaz tutachelewa, tuanzia Tripoli hapo hapo.
   
Loading...