Matendo ya Wanotuongoza yana Tulazimisha Kufikiria Kuunda Revolution Council

Tetere Enjiwa

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
217
65
Nimejaribu kufikiria matatizo ya umeme yanayo likumba taifa letu na mipango ya kuyatatua sioni matumaini huko mbele.

Nimeangalia vyama vya siasa hasa upinzani sioni matumaini yeyote. Bajeti zinapitishwa kwa kutegemea michango ya kuwezesha bajeti ambayo ni utaratibu wa kawaida wizara mmoja tu mil 500.

Kama wizara zote zinafanya mchezo huo si hatari kubwa hiyo, hao wanaojiata chama makini walikuwa wanaishi katika mazingira hayohayo huko bungeni, lo!

Wakati umewadia na sisi wa Tz kutumia utaratibu wa Revolution council kukomboa nchi hii kutoka kwa matapeli wa kisasa na mafisadi wanaotutawala.
 
Back
Top Bottom