Bungeni: Zitto Kabwe amtolea uvivu Shibuda

Bungeni: Zitto Kabwe amtolea uvivu Shibuda

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,134
Reaction score
331
Mh Zitto Kabwe amesema anawashanga wabunge wanaosimama bungeni na kutetea ama wanaotaka kuongezewa posho kwani wabunge hawa hawawajali watanzania. Kauli hii ameitoa baada ya jana Shibuda kusema posho ni muhimu.
Nawasilisha
 
Hivi punde Mbunge wa Kigoma Mh. Zito Kabwe amemalizia kuchangia bajeti ya wizara ya ushirikiano EAC
Ambapo katika kuhitimisha amewakumbusha wabunge wawe makini na wakumbuke wao ni viongozi wasishabikie posho hivi walipitisha bajeti ya wizara ya Nishati na madini ambapo tumekopo fedha nyingi kwaajili ya dharura ya umeme sasa wanapo dai posho wanatia aibu
Shida za wanachi zinawekwa pembeni
 
Amejikuta kwenye wakati mgumu pale alipo wapiga juu ya mshono wabunge wa ccm wanao taka kuongezwa posho, akisema anashangaa kuona kuna wabunge wanao taka kuongezwa posho wakati nchi ina matatizo ya umeme na imepitisha bugdet ya mkopo kwenye umeme wa dharura. Ndipo wa bunge wa ccm wakaanza kumzomea nae akasema haogopi kuzomewa kwani wa Tanzania wanamatatizo.
 
Nilidhani CCM wangezomea, lakini baada ya kuona jinsi hoja ilivyojengwa vizuri wote walikaa kimya. Somo limeeleweka. Leo ilikuwa siku ya wabunge wa CCM kuinamisha vichwa chini. Kwa hiyo, Mapambano yanaendelea, watanzania wanatafakari. Hukumu 2015 kama tutafika salama.
 
jaman ccm wanazomea wakati sisi huku kitaani tunataabika kichizi ila siku zao zinahesabika
 
Nilidhani CCM wangezomea, lakini baada ya kuona jinsi hoja ilivyojengwa vizuri wote walikaa kimya. Somo limeeleweka. Leo ilikuwa siku ya wabunge wa CCM kuinamisha vichwa chini. Kwa hiyo, Mapambano yanaendelea, watanzania wanatafakari. Hukumu 2015 kama tutafika salama.

Cha msingi tu wananchi waache kuendekeza njaa
na kupapatikia fulana na khanga!
 
Nimeiona nami hiiyo. Kaeleza vizuri sana japo wabunge wa CCm walizomea...ikimaanisha wao ni posho tu, wananchi baadaye.
 
Umeeleweka vizuri mkuu mapambano yanaendelea hukumu 2015 kama tutafika salama!!!!!!!
 
Nilidhani CCM wangezomea, lakini baada ya kuona jinsi hoja ilivyojengwa vizuri wote walikaa kimya. Somo limeeleweka. Leo ilikuwa siku ya wabunge wa CCM kuinamisha vichwa chini. Kwa hiyo, Mapambano yanaendelea, watanzania wanatafakari. Hukumu 2015 kama tutafika salama.
walianza kuzomea then zitto mwenyewe akawapiga kibao kile cha ina ya kelbu.
 
Nimeiona nami hiiyo. Kaeleza vizuri sana japo wabunge wa CCm walizomea...ikimaanisha wao ni posho tu, wananchi baadaye.

Chadema will always lead by beingbstrong and creative and CCM will learn and copy but will always copy it wrong.Hongera sana Zitto Viva Chadema .
 
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt; sasa we mpuuzi unadhani wakiingia CHADEMA inchi ndo itakuwa ya Asali acha mawazo ya kipododo kama babako alikufa fukara ndo imekula kwako wenzio wa CCM wanazomea ili wapate cha kuwaachia watoto wao.wewe kazi kuranda mjungu sijui utawaachia nini wanao kabwela mkubwa wewe!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
sio kosa lako, wewe unafikiria kwa makalio..fisadi mkubwa.
 
Cha msingi tu wananchi waache kuendekeza njaa
na kupapatikia fulana na khanga!

kanga, fulana, kofia,pilau, pombe na cash wachukue ila ndani ya kichumba cha kupigia kura akili mukichwa!! Mfano mimi nilichukua fulana na kofia nikampa kijana wangu wa ng'ombe na waote wawili (nina hakika) hatukuipigia kura CCM!!!
 
nakuona mwiyuzi unaperuzi thred hii.....wee lini utaenda kumg'oa yule mama anaeuza sura kule NKENGE?

Mix with yours
 
acha matusi wewe au unaham ya burn?

Wabunge wa ccm asilimia kubwa wezi tu, wananchi wanawasikiliza kwa makini na hakika hawatarud 2015 hata wahonge mpaka watoto waliozaliwa. Afu uyo shibuda na yy anafikiria kwa kutumia masaburi au?

big up Zito Kabwe
 
kanga, fulana, kofia,pilau, pombe na cash wachukue ila ndani ya kichumba cha kupigia kura akili mukichwa!! Mfano mimi nilichukua fulana na kofia nikampa kijana wangu wa ng'ombe na waote wawili (nina hakika) hatukuipigia kura CCM!!!

Vipi kuhusu wale wa vijijini wanaotishwa na maafisa mtendaji wa kata,
wanaweza kuwa na ujasiri kama wako? Nadhani bado kuna kazi
kubwa kuelimisha umma...
 
Back
Top Bottom