Watanzania wote wanyeshwa pombe, walewa bila kujijua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wote wanyeshwa pombe, walewa bila kujijua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matejoo, Aug 27, 2011.

 1. m

  matejoo Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mliosoma Machiavellianism: Mbinu mojawapo ya kutawala kirahisi kabisa ni kuwasahaulisha wanachi mambo ya msingi ama "kuwalewesha" na kuhakikisha unahamisha fikra zao kutoka katika mambo ya msingi kwenda katika mambo yasiyo na maana na yasiyo na athari kwa watawala.

  Bila kusema mengi, nasikitika kubaini kuwa serikali imeweza kutumia mbinu hii kuwasahaulisha wabunge na wananchi kwa ujumla ubadhirifu mkubwa katika wizara ya mali asili na utalii hususan swala la "kutoroshwa" kwa wanyama zaidi ya mia moja kwenda ngambo. Sote tumelewa pombe aina ya "Jairo" tuliyonyweshwa na Luhanjo na Kikwete. At the end of it all tutakuwa tumejifunga magoli mawili sisi wenyewe.

  Je ni lini katika historia ya nchi yetu wizara nyeti kama utalii na maliasili imeongozwa na waziri bila naibu? What is the justification?
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Ngoja kwanza daku?????
  Hizi siasa za bongo...................................
  Karibuni tule daku
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ndio maaana babu wa Loliondo alipata chat sana miezi michache iliopita na watu wakasahau important issues. Babu was news and was everywhere. Babu wa Loliondo alitumika kama kisahaulisho na alipata sana attention wakati watu wakisahau yanayoendelea ktk serikali legelege ya JK
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hii ndio TZ bwana. Bongo lala, tutakapozindukana itakuwa kiama kimewasili. Usiku mwema.
   
 5. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Najua ni usiku sana lakini bakia hapa mkuu kutoa mchango wako
   
Loading...