CCM ombeni ushauri kwa hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ombeni ushauri kwa hawa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, Aug 27, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nafkiri washauri wazuri wa CCM ni Gaddafi aliwafanyia mambo mazuri walibya tatizo kasahau kwamba nyakati zina mabadilika. Ben ALLY jeuri ya fedha ilimdanganya. Mubaraki naye hivyo. Nguvu ya umma iliwashughulikia.

  CCM wanafanya kwa mazoea ya kuwa wana serikali na wana fedha. Siku Arusha itakapobadilika kuwa Benghazi au Taharir ndipo watajua kuwa nguvu ya umma nini maana yake.

  Hawa viongozi hapo juu wanazoefu mzuri, CCM muwasiliane nao.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Gaddaf alikuwa mshrika mzuri wa jk wa pili.
  Atakuwa anajua kila kitu, labda tumkumbushe.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  crap.
  hivi huwa mnatumia vigezo gani kuleta thread hapa jf? Thread kama hii haina tija. nikichefuchefu. sasa hapa mtu utachangia au kujifunza nini? Pumba? au what? Ingekuwa vizuri kuwe na vigezo vya kuleta thread hapa ili watu wachangie na wengine wajifunze. Labda iwe ni taarifa? swali lenye tija, au makala yenye vision.Otherwise utumbo kama huu hautatusaidia.
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG]
   
Loading...