Analysis: End of Gadaffi, Reasons for Fear Kikwete, Mugabe, Museveni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Analysis: End of Gadaffi, Reasons for Fear Kikwete, Mugabe, Museveni...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Aug 22, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The Fall of Tyrant
  [​IMG]

  Ukiamka leo asubuhi utaona jinsi dunia ina-brace for changes in Libya. Hii ndio news duniani kote 'Gadaffi na watoto wake wameangushwa libya' tunajua hii process imekuwa ndefu lakini finally this is the end of Gadaffi. Sometime naona kama ni ndoto kwani vijana duniani hasa nchi kama libya, egypt, tunisia wame-achieve unachievable in real terms. Ukweli ni kwamba tumekuwa tunaimba jinsi gani hii generation ya vijana na utaifa sio ile ya mababu na mabibi zetu. Tumesikia serikali ya Tanzania inavyoendelea kudharau na kuziba masikio ya vilio na majonzi ya vijana na zaidi kuwakamata viongozi wa cdm.
  Rebels enter Tripoli, crowds celebrate in streets | Reuters

  Somo la hapa tena na tena tunaona wadikteta wa Afrika hawaondoki Africa kwa hiari yao. kila nyakati zinapokuja tunaona so-called viongozi wakijaribu kila njia bila uoga kudanganya na kudhutu ku-paint different picture for their country. Nyakati za wahuni na wezi kuondoka Afrika zilishafika zamani na wanatakiwa kuondoka. Ukiangalia Uganda, Malawi, Zimbabwe na Tanzania utaona sifa na mitego yao ni ileile na styles ni zilezile. Angalia Uganda Museven anachokifanya kwa wapinzani, angalia kikwete anachokifanya kwa cdm, angalia mugabe anachoendelea kukifanya .... what in the world does kikwete thinking? Kuendelea kuunda kamati za corruptions, kuendelea kudanganya hali ya fedha Tanzania na kuendelea kuficha critical docs za corruption na resources zetu.

  Another picture ni hii how can one man lead libya for 42 years na kudai yeye ni 'a leader and no one else?'

  Jambo jingine hapa tusisahau wale wote waliosaidia kuangushwa kwa Gadaffi. Vijana wote walibya waliokuwa wanasoma nje na kufanya kazi nje ya nchi, mchango wao kubadilisha nchi yao lazima to commend. Wale waliokufa na kupigwa kwenye hii vita na wale wote waliouliwa na Gadaffi kwa ajili ya kumpinga Gadaffi. One more thing, Gadaffi will end up in jail.

  Media call them 'young man in pick up truck take on tyrant'

  Ku-summarize hii historical moment, tuwaombee walibya kila la heri kujenga nchi yao na tukijua hii journey haitakuwa kitu rahisi. Kuna wengine watasema mbona hali ya walibya haibadiliki mara moja, lakini tukae tukijua libya ni country na sio kijiji. Libya kuna tribal and oil dictrubition issues, these are facts.

  Libya is done and battle shift to Tanzania, Uganda, Zimbabwe, Malawi ......
   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Usicheze na NATO au Marekani, kama wamekupania uondoke madarakani. Walimtoa Noriega na kumfunga jela mvua ya nguvu! Walikuwa wnampiga taratibu huku wakijifanya kuwa wanapata upinzani wa nguvu. Lakini walipokaribia kilomita kama 75 hivi, waliingia kwa kasi sana tena ilikuwa Usiku ili Walengwa wasiweze kutoloka Nje ya nchi! Hivi ndivyo walivyomtaimu Gadafi na wanawe wawili. Sasa Gadafi atasakwa kama vile ilivyokuwa kwa Sadam Simba(hussein)! Mungu bariki viongozi wapya wa Libya wasiwe na uroho wa kama Gadafi!
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nimetizama Hata Liz1 wa Libya nae kadakwa Libya wameweza Tanzania Nasi Tutaweza
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  Hayo ya bongo na ya Libya ni tofauti sana.Chuki za kikabila na visasi ndo shida Libya.Hivi mnadhani mkitaka kumwondoa JK kwasababu tu ni mkweree mtafanikiwa?Wengine tutamlinda na ku fight for the nation kama hiyo ndo sababu ya kumwondoa madarakani.Linganisheni kwanza aliyoyafanya Gaddafi kwa maendeleo ya nchi yake na wananchi wa Taifa lake vs sisi TZ tulliofanyiwa na viongozi wetu.Imagine ufisadi uwe haupo halafu eti kwasababu tu yeye ni mkweree ndo umwondoe madarakani.No way.Colonel was good for Libya and Afrika.

  Jaribuni basi muone kama hao NATO hawajajiunga na JK vs nyie.Na mkiona mnaungwa mkono kumwondoa JK, madarakani kwa nguvu na mataifa ya NATO,basi mjuwe kuwa ana mpango mzuri wa kuliendeleza Taifa na hivyo tunaonewa wivu.Mkiona mnazidi kuwa masikini na wao viongozi wetu wanazidi kutajirika,basi ujuwe kuwa kumwondoa madarakani kwa nguvu ni ndoto ya mchana kwasababu hawatataka kulilipa taifa pesa za kutosha kutokana na rasilimali wanazochota.

  Gaddafi however hajaondolewa kwa nguvu ya umma kama tunavyo aminishwa.NATo walidai wanaenda kuwalinda walibya wasiuwawe na Colonel.Sababu ambayo ni mfu na a typical none sense indeed.
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  niweze

  Duh umeongea kwa hisia kweli.............nani alijua the giant of Africa mtu aliyekuwa na pesa ya kuikopesha AU kuwa leo yuko kwenye cage.
  Mimi nawaambia wazee wetu hasa walio madarakani kwa muda mrefu wasituone watanzania hasa vijana ni wapole,
  Wanaingia mikataba fake Dowans and likes tukiwaomba watuonyeshe docs wanasema sisi hatuhusiki..
  Wanauza maliasili zetu wanauza dhahabu zetu kwa mirahaba ya kipuuzi kabisa wanafikiri hatuoni..
  Wanajilimbikizia mali miaka miwili mtu anakuwa bilionea wanatuona sisi wajinga tukiwauliza wanatupeleka mahakamani.....
  Let me remind them that people are keeping the records one day they will be responsible for what is happening today.
   
 6. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  Hizo rasilimali si wanawauzia hao mnaotaka wawasaide kumwondoa madarakani?(NATO etc?)Tumekimbizana na issue za kina Balali huku na tokea then najua issues zilivyo.Msijidanganye eti hao wazungu wa NATO etc watawaonea huruma kwasababu ya ufisadi,na kwamba eti watawasaidia kama ilvyokuwa kwa Libya.Sana sana watawaambia msiwapigie kura hao viongozi.Na kura zikiibiwa hao wanafunga macho kwasababu ofcourse ufisadi wa viongozi wetu unawanufaisha wao primarily.Tena sana sana wawapa mabomu mengi ya machozi na magari mapya ya maji ya kuwasha pamoja na rubber bullets etc. ili waweze kujilinda dhid yenu.And so therefore they can never bite the hand that feeds them

  Food for thought.
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Jaribu kutulia ujenge hoja zako vizuri, hakuna mtu amesema JK ataondolewa kwa ajili ya kabila lake ni wewe umeliingiza na kujijibu mwenyewe.

  Kuhusu sababu ya machafuko Libya na Tanzania zinaweka kuwa zinatofautiana lakini machafuko ni machafuko tu hata kama sababu zinatofautiana, sababu ya machafuko ya Misri na Tunisia hayakuwa sawa na ya Libya lakini viongozi wao wameondolewa.

  Kwenye bold unaposema imagine ufisadi haupo unamaana gani ufisadi upo si jambo la ku-imagine hilo. Siku ya JK ikifika kuondoka usiwe na wasiwasi ataondoka tu hata kama utamlinda kwa vifaru. Una habari kuwa Gaddafi alikuwa na ulinzi wa hali ya juu kuliko kiongozi yeyoye Afrika na alikuwa na suppoters wengi huku wananchi wake wakilipwa hata wasio na kazi lakini mwisho wa siku wako wapi wamemsaidia nini.
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Crap

  Crap
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  jmushi1

  Nafikiri huwajui wazungu ukiona wanakuchekea usifikiri wanakupenda wanataka dhahabu yako wanataka mafuta yako and not your good white teeth. Unajua kuwa Saadam alikuwa rafiki mkubwa wa US, una habari Mubarack wa Misri alikuwa allied wa NATO, una habari Gaddafi alisaidia kutoa mafuka wakati wa vita vya Irak na kusaidia kwenye WMD. Usicheze na western countries nyie wauzieni dhahabu kwa kujidanganya eti hawatawafanya kitu muulizeni Savimbi wa Namibia walimfanyje au Mugabe walivyomgeuka, Samwel Doe mifano ipo mingi sana.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  huyu wa bongo anakula gudtime na vin'gora tu ..
   
 11. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
 12. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Bila ya kusaidiwa na majeshi ya Wazungu ya NATO waasi wasingemuweza Gaddafi.
  Kinachogombaniwa pale in mafuta tu, na siyo udikteta wa Gaddafi - ukweli ndo huo, meza au tema, shauri yako.
  Kama ni kuondoa madikteta, mbona wazungu hawakutaka wao kumuondoa Mubarak, au huyu wa Syria.?
  Mkono mtupu haulambwi jamani eee!
   
 13. O

  Omr JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hao walibya ni vijana wa kazi sio mabishoo kama vyie vijana wa bongo, ndio maana sitta alisema mnaendekeza fiesta. JK amechaguliwa na watanzania kwa kura sasa vp unakwenda kumfananisha na Gaddafi.

  Mimi nawashauri mjaribu hiyo staili ya Libya halafu ndio mjue ukweli wa mambo. Jamani lazima mkumbuke magereza zetu vijana kama nyie mabishoo ndio mnao olewa.
   
 14. n

  niweze JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngoja na wewe uendelee kupigwa viboko vya umaskini mpaka akili zako zicheze. Unasoma news huko UK, US serikali zao zina madeni makubwa kama nini. Shida ya watu wasio soma na kufanya research mtaendelea kukurupuka na kusema lolote lile. Unafikiri hiyo mikopo ya IMF na World Bank kikwete na mafisadi wanakula sio pesa za wananchi wao huko UK na US. Right now na wao wameshachoka na hakuna faida yeyote kuendelea kutoa mikopo ya hasara ambayo baada ya miaka ishirini mnaomba misamaha hamwezi kulipa .... huu ni wakati na hizi serikali za UK na US wakiona movement ya wananchi na wao watafunga tela kuwa-suport (cheap kuwaondoa kikwete this way).

  Sio kila wakati mkimbilie hoja za mafuta tu, the world is run in financial terms na sio rahisi hivyo. Waulize US kama wananufaika lolote Egypt (collapse of Mubarak), walikuwa hawana choice bali kuwaunga mkono Wamisri. Do your research mtanzania na acha kulala au nyie ndio wakina ridhiwan na january ....


   
 15. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  wacha uchochezi msilitumbukize taifa kwenye matatizo mkadhani NATO watawasaidia hao jamaa wana interest na hapa kwetu wanachota raslimali zetu kwa hiyo msishangae kuona wanaisaidia serikali,pili hao wanaowatuma na familia zao watajichimbia ughaibuni nyie mtauwawa na wao wa-watch kwenye tv,tatu angalieni nyuma pazia hakuna rais aliewaletea wananchi wake maendeleo kama
   
 16. n

  niweze JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I am not sure what are you talking about, by the way unafuatilia mapambano ya watanzania na hii serikali ya kikwete? Unajua wazi hakuna anayeleta ukabila katika efforts za kubadili inchi yetu? Umepata wapi hii issue? Watanzania wanapigania freedom from ccm, justice for all and democracy.

  Kiongozi wetu anaitwa 'liberty' Go back and read your books kama unafanya hii topic ni paper ya class ...


   
 17. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  laana tul aleik NATO
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Hahahahaaa! So waasi wanatoa fundisho dunian eeh? Liz1 wao si yule alikua mzungumzaji saaaana?
   
 19. N

  Ndoano Senior Member

  #19
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  sio kweli acha kupotosha
   
 20. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,803
  Likes Received: 2,577
  Trophy Points: 280
  Matumizi ya pick up katika vita Libya ni ubunifu wa hali ya juu na kwa kiwango kikubwa kumechangia ushindi wa waasi, Ama kweli panapo nia,ipo njia. Viva Walibya,Viva the pick up revolution!
   
Loading...