Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuona wateuzi wa mikoa ,hasa wanajeshi (anayekwenda Kagera) ,nimejiluliza hii status quo itakwisha lini?Huyu Kanali anasifa gani za kuongoza mkoa huo?Nikakumbuka haya mambo yalianza tangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napata shida sana kujua nani ana jukumu la kuwajenga na kuwapa Wananchi [Watanzania] nafasi ya kujua na kupata nafasi ya kuvuna elimu [Knowledge] ya utambuzi wa aina ya siasa zinazoendesha Nchi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za...
3 Reactions
183 Replies
19K Views
Tangu kampeni zianze hapa Igunga chadema tumekuwa tukifanya mikutano mitatu kwa siku,huku CCM ikishindwa kufanya hata mkutano mmoj,zaidi ya ule wa ufunguzi uliofanyika Igunga mjini, tena baada ya...
20 Reactions
169 Replies
19K Views
chadematv's Channel - YouTube
2 Reactions
23 Replies
4K Views
katika uchaguzi unaoendelea huko igunga leo kuna mwananchi mmoja ameuliza kwanini wachague ccm wakati mbunge wao rostam alijiuzulu kwa kile alichosema ni siasa uchwara ndani ya ccm.Steven wassira...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 07 September 2011 MAISHA binafsi ya Rais Jakaya Kikwete, kabla na baada ya kuwa rais yameanza kuanikwa duniani kote kwa njia ya mtandao ambako anatuhumiwa hata...
0 Reactions
105 Replies
12K Views
SAKATA la madiwani kutishia kumshushia kipigo Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Gabriel Kimolo na Mwenyeykiti wa halmashauri ya wilaya hiyo Erick Ambakisye limechukua sula mpya, baada ya Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nakumbuka nimesoma historia kwamba babu zetu walipewa nguo, vioo, shanga na pombe wakatoa pembe za ndovu, dhahabu na almasi, leo hii tunapewa neti tunatoa dhahabu ivi kweli serikali yetu kupitia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Tanzania: land of constant complaints The country seems well, but corruption is rampant by M.G. Vassanji on Tuesday, September 13, 2011 10:25am - 0 Comments Marco Longari/AFP/Getty Images In...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
M. M. Mwanakijiji KAMA wewe ni mwanachama au umewahi kuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi, usiendelee kusoma makala hii. Unaweza ukajikuta unashikilia “Roho Mkononi.” Makala hii...
14 Reactions
47 Replies
5K Views
Ni vizuri taifa wakati fulani lijikite ktk kujadili uongozi na viongozi wa taifa wa baadaye. Kwa miaka ya karibuni kuna vijana wajiandaa kushika uongozi wa juu wa nchi. Wachache wana vigezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Badala ya Maafisa wa Jeshi kuweka mipango ya kifisadi ya kutenga pesa kwa JKT Vijana wasomi wanatakiwa kuwa Wazalendo na kupelekwa kufundisha shule zote Tanzania. Kama kweli tunahitaji uzalendo ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Namkubali sana Johnson Mbwambo na gazeti la wiki hii la Raia Mwema amerudia tena kusema January Makamba na watoto wengine wa vigogo wanabebwa na kupewa madaraka kitu ambacho kitakuja kuleta...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Nilikuawa napitia hii habari iliyoandikwa baada ya kikao cha nne cha Bunge kuahirishwa mwezi uliopita, ndipo hapo nilipotamani kama vikao hivi vingekuwa vinakaa kila siku, labda Serikali yetu...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Wanajamvi: Nauliza: hivi hawa ma-DC kama hawapo kikatiba, yaani kazi zao hazijaorodheshwa ndani ya Katiba, jee Budget yao na mishahara inatoka wapi? Ni hela za waliopa kodi wote? Nasema hivi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani. Amani gani vijana wetu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita Nd.Msukuma leo ametangaza kujiuzuru uenyekiti wa Halmashauri pamoja na udiwani kwa tiketi ya CCM baada ya kuwa kwenye mgogoro na madiwani wenzake wa...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Mimi ni Mpenzi wa Social networks, na huwa natumia sana Facebook, Tweeter na Jamiiforums. Mimi ni friends na wanasiasa wengi sana hasa Vijana. Ni Rafiki za Zitto, Ni Rafiki wa Mnnyika, Regia...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…