Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM...
6 Reactions
166 Replies
13K Views
Mwaka 2009/2010 ccm ilipita vyuo vikuu ikawarubuni wanavyuo ambao ni wanachama wa chama cha mapinduzi ikawadanganya kuwa wajiorodheshe ili wawekwe kwenye database kwa ajili ya kupata kipaumbele...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila harakati zilizofanywa wakati wa Baba wa Taifa zililenga kipiga vita MAADUI watatu yaani UJINGA,MARADHI na UMASKINI. lakini sasa cha ajabu mambo yamekuwa tofauti kwani katika miaka hii ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wananchi wanaohudhiria Tamasha la 10 la Jinsia, wamependekeza utaratibu wa kupata wabunge kupitia majimbo , viti maalum na kuteuliwa na Rais ufutwe, na badala yake zianzishwe wilaya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mtizamo wangu katika kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru Kama yupo kijana mwenye umri huo tajwa hapo juu ambae bado anaishabikia CCM inabidi akimbizwe milembe kwani kwani akili yake itakuwa ina...
6 Reactions
88 Replies
6K Views
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la igunga kupitia Chama cha wanainchi CUF Leopold Mahona amelivuruga soko la mji wa Igunga na kusababisha biashara kusimama kwa muda. Mahona alipita sokoni hapo...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Akiingia katika awamu ya pili ya kampeni ya uchaguzi mdogo wa igunga Leopold Mahona katika vijiji viwili kabla ya kupanda jukwaani alisalimiana na kila mwanakijiji waliojikeza kwa wingi na...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Jamaa wa politifact wanarecords ya ahadi zote alizotoa Obama wakati anaomba urais, wanaonyesha ahadi alizotekeleza, ahadi zilizo kwenye pipeline (zinazofanyiwa kazi sasa), ahadi alizovunja na...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Mi najiuliza kwamba tunapozungumzia mikoa mipya upya wake ni upi hasa tukizingatia kwamba wote tunaelewa "kitu kipya maana yake ni nini" hizi sehemu zilikuwepo toka enzi hizo leo hii zimeungwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
http://youtu.be/JhGpaQrhzu4
0 Reactions
0 Replies
962 Views
By BILHAM KIMATI, 17th September 2011 @ 11:14 CLAIMS by residents of Jangwani area (along the Msimbazi River valley) that the eviction order previously issued by Ilala district authorities...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
nape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Saturday, September 17, 2011, 11:33 African News, Habari kuu. BY ISAAC LONGWE AND HUMPHREY SHAO. TANZANIA’S economy loses approximately TSh five to six billion per day due to unproductive...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sun, Sept 18, 2011 Sun, Sept 18, 2011 | Tanzania Why It’s Crucial For MPs To Study Budget Tanzanian Bunge (Parliament) in Dodoma The Parliamentary budget meeting that ended recently in...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Jamani hizi ni Tetesi na ninaendelea kuzifanyia Kazi Habari ambao bado haijathibitishwa zinasema kwamba Hatimaye Lile Gamba kuu lililogeuka Karata ya Ushindi ya CCM Igunga, Rostam Aziz ( Ambaye...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Huwa napenda sana kuuliza maswali ambayo yana dadavua na kuchambua si historia ya nchi yetu tu bali hata viongozi wetu. Ni vizuri kufahamu ni wapi viongozi wetu walipo toka ili tujue kwa nini wapo...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Another objective masterpiece from Ansbert Ngurumo.....READ ON! =============================================================================== Wabunge wadhalilishwe, DC alindwe? By Ansbert...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Ndugu wana JF, tumeshuhudia Chadema wakitoa kauli kali na ngumu kuwa CCM imeamua kutumia umafia wake wote kuhujumu democrasia nchini, kuanzia vyombo vya dola, wakuu wa mikoa, wilaya na viongozi wa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kitendo cha polisi kuwa na double standard katika Utendaji wake na kuonekana wazi kuwa kinafanya kazi kama jumui ya chama cha mapindizi kinampunguzia hadhi na kuanza kutilia shaka uwezo na ueredi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…