Mgombea CUF asimamisha biashara Sokoni Igunga.

mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la igunga kupitia Chama cha wanainchi CUF Leopold Mahona amelivuruga soko la mji wa Igunga na kusababisha biashara kusimama kwa muda. Mahona alipita sokoni hapo jana kusalimia wafanyabiashara wa soko hilo na kusikiliza matatizo yao. Ziara yake ilionekana kumvuta kila mfanyabiasha wa sokoni hapo na wote walikuwa na shauku ya kumuona na kuzungumza naye. HABARI ZAIDI SOMA MTANZANIA uk 3.
 
oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Alienda kusikiliza matatizo yao yeye kama nani?anachotakiwa ni kujinadi tu na hakuna kingine ameona maji yamemfika shingoni watu kwenye mikutano yake hawaendi sasa inabidi awatembelee watu.CUF siasa za tanzania bara zishawashinda wawaachie CCM na CDM tu CUF wajikite zanzibar basi.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la igunga kupitia Chama cha wanainchi CUF Leopold Mahona amelivuruga soko la mji wa Igunga na kusababisha biashara kusimama kwa muda. Mahona alipita sokoni hapo jana kusalimia wafanyabiashara wa soko hilo na kusikiliza matatizo yao. Ziara yake ilionekana kumvuta kila mfanyabiasha wa sokoni hapo na wote walikuwa na shauku ya kumuona na kuzungumza naye. HABARI ZAIDI SOMA MTANZANIA uk 3.

Mtanzania nalo lina habari za kuweza kusomwa na great thinkers ? Mgombea wa CUF alienda huko kwa kuwa amekuwa akienda siku zote au alibadili toka kwenye punda hadi sokoni kwa miguu ? Kwani mgombea anakaa wapi na anafanya kazi gani hadi wana wa Igunga waache kutafut mkate na kumkimbilia kumuona ? Kumbe si mwenyeji wa Igunga ? Kama ni mwenyeji sasa kushangaa kumetoka wapi ? Hao watu wa sokoni nadhani walikuwa wanamchora kwa kuwa wana uwezo wa kumfuata kwenye mikutano yake kama kweli wanataka kumpa kura .
 
Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
255
Kama watu hawaendi kwenye mikutano yake, sasa yeye afanyeje jamani! Hata Kuga Mziray aliliona hilo akawa anamfuata mtu mmoja mmoja kumuhutubia. CUF is kwishney!
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
hebu awaache watu muda wa kazi wafanye shughuli za kimaendeleo si awasubirie hadi jioni kwenye mikutano yake
 
mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
jamani Mgombea wa chadema nae alienda sokoni igunga lakini hakupokewa kama alivyopokewa wa MAHONA WA CUF.
 
Massawe mtata

Member
Aug 12, 2011
36
13
Acha uongo unafikina uzandiki mgombea wa CDM Hajafika sokoni. Mnavyosema mgombea wa cuf alisimamisha shuguli zote sio ukwel
 
Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,989
1,291
Kwanini huyu ameruhusiwa kuleta habari za CUF? Tuleteeni habari za chadema tu jamani sisi ni pipozzzz
 
woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
uhuni na ujinga wanaofanya cdm leo cuf waliishapita huko wamewaachia wajinga hawa wa cdm. CUF wanafanya siasa za kistarabu.
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
4,500
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la igunga kupitia Chama cha wanainchi CUF Leopold Mahona amelivuruga soko la mji wa Igunga na kusababisha biashara kusimama kwa muda. Mahona alipita sokoni hapo jana kusalimia wafanyabiashara wa soko hilo na kusikiliza matatizo yao. Ziara yake ilionekana kumvuta kila mfanyabiasha wa sokoni hapo na wote walikuwa na shauku ya kumuona na kuzungumza naye. HABARI ZAIDI SOMA MTANZANIA uk 3.
Aliomba ruhusa kwa bwana wake CCM kwenda sokoni siku hizi kuna wabakaji wa wake za watu wao hawachagui CCM kwa CCM wanabakana tu.
 
woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
Aliomba ruhusa kwa bwana wake CCM kwenda sokoni siku hizi kuna wabakaji wa wake za watu wao hawachagui CCM kwa CCM wanabakana tu.
<br />
<br />
wabakaji hao ni CHADEMA, Wahuni, washenzi, wachagga kazi yao ni wizi siasa wapi na wapi.
 
Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Alienda kusikiliza matatizo yao yeye kama nani?anachotakiwa ni kujinadi tu na hakuna kingine ameona maji yamemfika shingoni watu kwenye mikutano yake hawaendi sasa inabidi awatembelee watu.CUF siasa za tanzania bara zishawashinda wawaachie CCM na CDM tu CUF wajikite zanzibar basi.

Unauliza alikwenda kama nani? Hivi hujui kwamba utekelezaji wa majukumu yanategemea sana kujua mahitaji, kero na vipaumbele vya wapiga kura wako? Angekwenda magwanda humu jamvini yangetawala hayo hayo! Tumewachoka kwa ulalamishi usio na maana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom