Kijana kati ya miaka 18-35 anaesapoti CCM akapimwe akili

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,480
5,109
Kwa mtizamo wangu katika kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru Kama yupo kijana mwenye umri huo tajwa hapo juu ambae bado anaishabikia CCM inabidi akimbizwe milembe kwani kwani akili yake itakuwa ina ufa na hvo anahitaji uchunguzi wa kina. Katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa,kijamii n.k. bado tuna safari ndefu ya kutembea........ukweli CCM haijaitendea haki nchi yangu Tanzania hivyo sioni sababu ya kijana ambaye bado uwezo wake wa kufikiri bado uko juu ashabikie upumbavu.
 

Arafat

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
2,582
755
Mkuu una maana hao wazee unadhani wapo CCM watapingwa hadi na watoto wao?
 

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,566
807
Mkuu demokrasia ni ushindani. Vijana wana haki ya kuunga na kujiunga na chama chochote kila. Kama vyama vingine vina taka vijana wa umri tajwa basi ni juhudi zao kuwa recruit. That is multipatism in practice.
 

Chromium

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
589
185
Ukikuta kijana wa umri huo anapanua mdomo wake kushabikia CCM kuna matatu:

1. Baba yake alikuwa (ni) kiongozi chama hicho ama

2. Hana kazi maalum ya kufanya nje ya siasa (anatafuta ajira kwa mgongo wa chama) ama

3. Mjinga tu (hana elimu)

4. Yote hapo juu
 

bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
259
113
Mkuu demokrasia ni ushindani. Vijana wana haki ya kuunga na kujiunga na chama chochote kila. Kama vyama vingine vina taka vijana wa umri tajwa basi ni juhudi zao kuwa recruit. That is multipatism in practice.
Namnumkuu Mh Warioba alisema "Ukiona jamii yeyote wazee na vijana wapo kundi moja basi iyo jamii itakuwa na mapungufu makubwa ya kufikiri". Mimi binafsi nitaendelea kuamini hii kauli ya Warioba, au vp mwana FA?
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,531
5,357
Si vijana peke yao. Mwaka jana baada ya uchaguzi Moshi njiani kurudi Dar-es-Salaam tulisimama Korogwe kuongeza mafuta. Gari ya mbele ilikuwa ya Freeman Mbowe na mimi nilikuwa gari inayofuatia.

Ukaja umati pale kutupa sapoti na alikuwepo mzee mmoja mwenye umri nakisia kuwa miaka 75 kuendelea mbele akitembea kwa taabu.

Akaelekea gari ya Freeman na mimi nikashuka kusikia anachotaka kumwambia mwenyekiti wa Chadema. Mzee huyo alisema "ninyi ndio wakombozi wetu." That is all the message he wanted to share with Freeman.

Nikamwangalia yule mzee sikummaliza. Nikasema huyu mzee amekuwepo enzi za TANU. Alikuwa kijana na amekomaa enzi za CCM. Leo anatambua kuwa CCM si mkombozi wake tena.

I carry that picture in my head all the time. Kwa hiyo si vijana peke yao. Kwa wote wale wanaoitakia mema Tanzania CCM si mkombozi wao.
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,826
25,523
Mageuzi (multpartism) yamekua rasmi hapa nchini mwaka 2002(miaka 19 iliyopita). Kwa mtu ambae alikua na miaka 14 kipindi hicho tuseme kwa sasa atakua na miaka 33. Hua nasikitika sana kuona mtu wa aina hii eti nae akija na style za "CCM imenilea, CCm imenisomesha", mpuuzi huyu mtu!!

Mi nitakaa kama "sniper" nikilenga mlango wa Milembe kuwavizia hawa jamaa, Kitakachofuata mtakuja kuhadithiana.
 

kilemi

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
544
98
Wengine ni njaa mkuu! Elimu hamna na hakuna namna yoyote ya kuishi zaidi ya kutumia sawasawa midomo yao! Huyo Nape sijui elimu yake, lakini angalia gari anayotembelea.Yule bw. mdogo Ben Malisa kamaliza digrii yake ya sheria na kujiunga na siasa moja kwa moja, sijui kama alipractice taaluma yake, ila nasikia nae kateuliwa kuwa mwanasheria sijui wa kitengo gani wizara ya maliasili na utalii!!
Biashara inayoendeje sasa ni ile ya "mtumikie kafiri................."
 

babap

Member
Apr 22, 2011
62
15
Si vijana peke yao. Mwaka jana baada ya uchaguzi Moshi njiani kurudi Dar-es-Salaam tulisimama Korogwe kuongeza mafuta. Gari ya mbele ilikuwa ya Freeman Mbowe na mimi nilikuwa gari inayofuatia. Ukaja umati pale kutupa sapoti na alikuwepo mzee mmoja mwenye umri nakisia kuwa miaka 75 kuendelea mbele akitembea kwa taabu. Akaelekea gari ya Freeman na mimi nikashuka kusikia anachotaka kumwambia mwenyekiti wa Chadema.<br />
Mzee huyo alisema &quot;ninyi ndio wakombozi wetu.&quot; That is all the message he wanted to share with Freeman. Nikamwangalia yule mzee sikummaliza. Nikasema huyu mzee amekuwepo enzi za TANU. Alikuwa kijana na amekomaa enzi za CCM. Leo anatambua kuwa CCM si mkombozi wake tena.<br />
I carry that picture in my head all the time. Kwa hiyo si vijana peke yao. Kwa wote wale wanaoitakia mema Tanzania CCM si mkombozi wao.
<br />
<br />
sound
 

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,077
Jamaa ameongea kweli.. Hivi kweli wewe kama ni kijana uliye elimika na unaijua hii nchi inaenda vipi, hivi utakubali kweli kuwa sisi'm? Miaka 50 ya uhuru tupo wapi? Ahhhh!
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Walio wengi wanaoisapoti ccm ni wale vijana wenye umri wa masanja na bado wanaishi kwa shemeji zao yaani alikoolewa dada yao hawafikiri leo watapata wapi chakula kwani wanajua shemeji atanunua
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,466
kwa mtizamo wangu katika kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru kama yupo kijana mwenye umri huo tajwa hapo juu ambae bado anaishabikia ccm inabidi akimbizwe milembe kwani kwani akili yake itakuwa ina ufa na hvo anahitaji uchunguzi wa kina. Katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa,kijamii n.k. Bado tuna safari ndefu ya kutembea........ukweli ccm haijaitendea haki nchi yangu tanzania hivyo sioni sababu ya kijana ambaye bado uwezo wake wa kufikiri bado uko juu ashabikie upumbavu.

naungana na wewe. Kwa 7bu ya ugumu wa maisha, wataonekana kuisapot ccm lakinikama wangejua aliyewasbabishia ugumu wa maisha wasingethubutu kuisapot hata kidogo.

Lakini mwisho wa ccm unahesabika, kinachotakiwa vijana tunapokuwa katika vikundi vyetu, kuzungumzia mstakabali wa nchi yetu iwe ndo ajenda kubwa na tuhamasishane kujiandikisha ili 2015 tuimwage ccm.

Ukiangalia takwimu za 2002 sensa, kwa miaka hii kumi vijana tumeongezeka na hivyo tukipiga kura wote, ccm hawana chao
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,957
4,620
Napingana na hoja. Ukweli ni kwamba ukimwona Mtanzania yeyote awe kijana au mzee na bado anasuport CCM ujue huyo ana mapungufu kichwani mwake. Full stop!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Top Bottom