Nape: Tutaanza kuwatumia vijana wetu kulinda viongozi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
22,844
41,732
nape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana mapanga.anasema wao hawatakubali.ameongea na waandishi akiwa dar.
my take;
ccm maji yamewafika shingoni na wanashindwa wafanyeje.sasa waameanza siasa za maji taka na ubaguzi wa kusema watu wa arusha hawatakiwi kwenda kwenye kampeni igunga.anafikili ccm ndo ina vijana tu.nape mwaka huu mnalo na limewaganda.
chanzo ch10.mia
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,189
NAPE SASA ATANGAZA PROJECT-LINDA- VIBAKA NA MA-DC WAPIGA RAMLI IGUNGA

Hiyo hoja ni kweli kabisa Nape nakuunga mkono sana katika hilo.

Laiti mgekua na utaratibu kama huo mapema hata naye Fisadi Mwigullu Mchemba wala asingelazimika kukimbia na chupi cha mke wa Wana-Igunga kutoka gesti. Vijana hao unaowzungumzia hivi sasa wangemkingia kifua na mwenye mke, Ustaadh Raajab kugeuzwa tu kama mdoli.

Endelea Nape na hiyo 'Project Linda Vibaka na Ma-DC wapiga Ramli' huko Igunga na kote kwingineko.
 
Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Nimemwona nape akitangaza hali ya hatari Igunga tunaomba makamanda wa cdm kuwa waangalifu anajiamini kwa kutumia vijana waliopata mafunzo ulemo singida pia kutumia Polisi naona Igunga amani inaelekea kutoweka ila magamba Igunga yanaelekea kushindwa ndo maana wanatafuta kila njia kuharibu kampeni.
 
bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
259
113
nape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana mapanga.anasema wao hawatakubali.ameongea na waandishi akiwa dar.
my take;
ccm maji yamewafika shingoni na wanashindwa wafanyeje.sasa waameanza siasa za maji taka na ubaguzi wa kusema watu wa arusha hawatakiwi kwenda kwenye kampeni igunga.anafikili ccm ndo ina vijana tu.nape mwaka huu mnalo na limewaganda.
chanzo ch10.mia
Nape anafanya siasa za maji ya chooni. Ila baada ya uchaguzi wa Igunga atakua kapata jibu kuwa Watanzania sio maiti bali ni wanadamu wenye uwezo wa kuchagua mazuri na kukataa mabaya.
 
raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Kama kasema hazo basi naona kweli kijana anapotea sasa anategemea kwa kusema watu wa arusha na mwanza wanatumika katika fujo..atasema nini kesho kwa vijana ambao ni wengi akienda huko mwanza na arusha...Wanasiasa ka hawa ndio wanaoipunguzia CCM mvuto bila kujua.
 
NEW TANZANIA

Senior Member
Aug 15, 2011
101
25

Nape kazoea siasa za kibaguzi
lakini hiyo haitoshi ni lini serikali imewakabizi CCM jukumu la kulinda viongozi wake
nape kalidhalilisha JESHI la polisi na usalama wa taifa
 
Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,436
Nape ameishiwa cha kuongea baada ya kupigwa stop kwenda Igunga na kampeni zake zenye malengo binafsi za ''Kujivua Magamba".Huyu anatafuta cheap popularity baada ya Watanzania kushtukia kuwa ni mtu wa kubwabwaja ,mtu asiyetembea juu ya maneno yake.
Nadhani anatumia nafasi hii kuwaelezea wanauchi uzushi wake kuwapumbaza wasiulize juu ya yale aliyokuwa anaahidi kuyafanyia kazi alipochaguliwa kuwa kiongozi.
 
Tetere Enjiwa

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
217
65
Hivi anavyo sema hivyo anafikiri vyama vingine vya siasa havina vijana wao wa kuwatumikia katika ulinzi. nasema niwakati muafaka kwa vyama vya siasa kuanzisha military wings zao. Huko mbele lazima tupigane kuikomboa nchi hii na mkoloni mweusi ambaye ni viongozi wanaotutawala sasa na familia zao.
 
raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Nape hajielewi, alikuwa na kilaza mwenzake, Makamba Jr

Vijana hao ndio wanapewa mikoba kaka CCM..,ukiwa shwadakta ka bro. Mnyika hawataki hata kukusikia...kila nikisikiliza speech ya Mwigulu huwa sina mbavu ...eti wamemwagia tindikaliii.......wamemuumizaa.....usoo.......hadi tishirt ya ya chama imechanikaa......hata shetani afanyi hivyoooo....!sasa kijana huyo ndio ameonekana nafaa na amepewa mikoba ya kusimamia uchaguzi na uweka hazina wa chama..jiulize hao walioachwa wakoje???then utapata jibu....
 
Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,944
Kama kasema hazo basi naona kweli kijana anapotea sasa anategemea kwa kusema watu wa arusha na mwanza wanatumika katika fujo..atasema nini kesho kwa vijana ambao ni wengi akienda huko mwanza na arusha...Wanasiasa ka hawa ndio wanaoipunguzia CCM mvuto bila kujua.

Hadi sasa nape ameshindwa kwenda arusha kutokana na mtazamo wake finyu wa kisiasa kwa kueneza siasa za ubaguzi bila shaka hiyo ndiyo itikadi ya magamba anayohubiri.

Hii inadhihirisha kwamba teuzi za JK ni za hovyo kiasi gani kuanzia kwenye chama chake cha magamba hadi serikalini, vilaza ni wengi sana.
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
nape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana mapanga.anasema wao hawatakubali.ameongea na waandishi akiwa dar.
my take;
ccm maji yamewafika shingoni na wanashindwa wafanyeje.sasa waameanza siasa za maji taka na ubaguzi wa kusema watu wa arusha hawatakiwi kwenda kwenye kampeni igunga.anafikili ccm ndo ina vijana tu.nape mwaka huu mnalo na limewaganda.
chanzo ch10.mia

Huyo Nape nadhan akili zake azijatimia

Chadema kina vijana pia.

kama anataka kuchochea machafuko na ajaribu.
 
Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,023
562
Debe tupu hilo liacheni haliruhusiwi hata kufika Ingunga, cdm chapakazi hawezi kuja Igunga huyu ameshapigwa stop na akikaidi mabounsa wa RA watamrusharusha!
 
alpha5

JF-Expert Member
May 26, 2011
210
53
nape asema sasa wataanza kuwatumia vijana wao kuwalinda viongozi wao.ameongeza kusema haiwezekani watu wa arusha na mwanza waende igunga kubaka watu,kudhalilisha wakina mama na kupigana mapanga.anasema wao hawatakubali.ameongea na waandishi akiwa dar.
my take;
ccm maji yamewafika shingoni na wanashindwa wafanyeje.sasa waameanza siasa za maji taka na ubaguzi wa kusema watu wa arusha hawatakiwi kwenda kwenye kampeni igunga.anafikili ccm ndo ina vijana tu.nape mwaka huu mnalo na limewaganda.
chanzo ch10.mia
hapo nepi kachemka kama vipi na cdm waagize vijana tuko tayari kuja huko igunga kupambana na hao vilaza
 
Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Kuna wakati Nape alijifanyaga mlokole alikuwa anafanyiwa maombi pale Amana labda maombi hayakufanya kazi ndo maana amekuwa wa kuropoka.
 
NEW TANZANIA

Senior Member
Aug 15, 2011
101
25
avatar4892_1.gif
Nape anunuliwe kanzu pea saba il atulize mawazo

mkuu avatar yako itafanya nifukuzwe kazi
kila nikiiona nacheka kwa hasara matanzania haaaaaaa
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom