Jangwani area leased to developer for 99 years

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,794
287,947
By BILHAM KIMATI, 17th September 2011 @ 11:14

CLAIMS by residents of Jangwani area (along the Msimbazi River valley) that the eviction order previously issued by Ilala district authorities carried ominous implications have prompted investigation into the matter.

The latest finding now is that the area has been sold to Khoja Shia Isthnaasher Jamaat of Dar es Salaam.

Related official documents under the title Certificate of Occupancy signed by the Commissioner for Land Use Development Services with Reference Number LD/147417/14/CCC dated December 06, 1991 reveals that the Jamaat Group have the right to occupy the land for 99 years

Daily News | Jangwani area leased to developer for 99 years

Napenda Shia Isthnaasher Jamaat projects .... zinafaida sana kwa wa tanzania... mfano mzuri angalia Al-muntazir schools ... kuanzia nursery mpaka high school ... hazichagui kabila wala Dini even though ni wao wapo kwa ajili ya waislam wa dhehebu la shia ithna asher... aim sure project watakayofanya hapo itakuwa ni nzuri... na faida kwa wa tnz kwa ujumla AL-muntazir kila mwaka inachukuwa idadi flani ya yatima kuwasomesha katika shule zao... faida ipo kubwa tu

http://www.almuntazir.org/

Serikali haiwezi ikawaondoa hao watu bila kuwapa altenative btw hayo maeneo yalipigwa marufuku watu kuishi...

mmmmh, hiyo mikataba imewekwa kitaalam? na noi vipi nilisikoia hayo ni maeneo ya wazi!

jangwani area ni wetland. wana mipango madhubuti ya kuweka infrastructures? otherwise italeta shida maeneo mengine. na hizi rights of occupancy zinatokeaga kama zali ama? manake landuse plan ilikua open area. inakua ardhi wanatangaza nia ya kuiuza lease yake ama ni mtu ana-approach?

Sio ajabu ukasikia kuna watu wanatakiwa kuhamiswa kwenye maeneo yao ili apewe mwingine mwenye hela ili aendeshe biashara kwa miaka 500, wonderful Really.

Hapo ndio utaelewa kuwa hii Tz ni kama comedy fulani hivi. Nimeishaona waziri anasema wataamisha watu katika eneo la jangwani kwasababu ni mkondo wa bahari...! Au alikuwa hajaona hiyo hati?

Ukistaajabu ya Musa!

Mh! Al-Muntazir sio taasisi ya kidini hii? Sina shida na wao (Al-Muntazir) kupewa sehemu ya eneo husika kwa ajili ya kuweka vitega uchumi vyao kwa faida ya jamii. Labda, tuambiwe Al-Muntazir siyo taasisi ya kidini au haifungamani na itikadi fulani; vinginevyo taasisi moja ya kidini kukabidhiwa "mradi mzima" tena wa jamii pana kama eneo la Jangwani haiingii akilini.

Mradi wa Jangwani ni mradi mkubwa wa kitaifa ambao umejadiliwa hadi Bungeni kwenye bajeti/hotuba ya waziri husika hivyo unagusa hisia za wananchi wote na ukizingatia hali tete iliyopo hivi sasa umakini wa hali ya juu unatakiwa hasa na serikali na watendaji wake.

We need more open spaces in Dar not to give away the little we have. Poor city plan.

Samahani mkuu ulitaka wapewe kanisa? Mbona hivi wewe?
Mh! Al-Muntazir sio taasisi ya kidini hii? Sina shida na wao (Al-Muntazir) kupewa sehemu ya eneo husika kwa ajili ya kuweka vitega uchumi vyao kwa faida ya jamii. Labda, tuambiwe Al-Muntazir siyo taasisi ya kidini au haifungamani na itikadi fulani; vinginevyo taasisi moja ya kidini kukabidhiwa "mradi mzima" tena wa jamii pana kama eneo la Jangwani haiingii akilini.

Mradi wa Jangwani ni mradi mkubwa wa kitaifa ambao umejadiliwa hadi Bungeni kwenye bajeti/hotuba ya waziri husika hivyo unagusa hisia za wananchi wote na ukizingatia hali tete iliyopo hivi sasa umakini wa hali ya juu unatakiwa hasa na serikali na watendaji wake.

i dont mind jamaat kuchukua role ya kusaidia bonde la msimbazi ambalo serikali ya CCM imeshindwa kulisimami miaka 50 since independency

nina imani jamaat watafanya kazi nzuri kwani wao si wanasiasa.................

congrats

Siafiki ujinga wa kutoa open space kwa taasisi yoyote ile..inatakiwa ibaki kwa wananchi..period

Mkuu, nafikiri ni jambo zuri kupata wawekezaji wanaojulikana kama hawa mabwana kwenye project husika.
Issue hapa ni kwamba, wamepewa eneo kwa ajili ya project husika? Au wamepata/pewa eneo kwa minajili mingine?
Sijasoma article yote so, sina uhakika na hilo.
i dont mind jamaat kuchukua role ya kusaidia bonde la msimbazi ambalo serikali ya CCM imeshindwa kulisimami miaka 50 since independency

nina imani jamaat watafanya kazi nzuri kwani wao si wanasiasa.................

congrats

Mkuu, nafikiri ni jambo zuri kupata wawekezaji wanaojulikana kama hawa mabwana kwenye project husika.
Issue hapa ni kwamba, wamepewa eneo kwa ajili ya project husika? Au wamepata/pewa eneo kwa minajili mingine?
Sijasoma article yote so, sina uhakika na hilo.

you are right mkuu

lakini kwenye zama za kila kingunge kulamba open space, what do u expect??

BTW, bia wapi aisee.. nimepigwa nne bila na spurs nahitaji bia

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom