Ccm, ujinga ,maradhi na umaskini maadui wapya wa maendeleo.

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,448
630
Kila harakati zilizofanywa wakati wa Baba wa Taifa zililenga kipiga vita MAADUI watatu yaani UJINGA,MARADHI na UMASKINI. lakini sasa cha ajabu mambo yamekuwa tofauti kwani katika miaka hii ya karibuni Adui mwingine kaongezeka,naye anajiita kwa A.K.A ya nyoka aliyejivua gamba.Na kuafanya list ya maadui WANNE na kusomeka kama ifutavyo CCM,UJINGA,MARADHI na UMASKINI hivyo wito umetolewa kwa wale Watanzania wazalendo na wenye akili timamu kupambana na maadui hawa ili kujiletea maendeleo. WANA JF mnasemaje?
 

Ngoiva Lewanga

Senior Member
Aug 19, 2011
160
19
CCM + UFISADI = MAGAMBA ?? Hapana nimekosea ngoja nianza upya, kwani kuna wengine si mafisadi lakin bado magambo wakubwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom