Obameter tukiCopy hii si mbaya!

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Jamaa wa politifact wanarecords ya ahadi zote alizotoa Obama wakati anaomba urais, wanaonyesha ahadi alizotekeleza, ahadi zilizo kwenye pipeline (zinazofanyiwa kazi sasa), ahadi alizovunja na ahadi ambazo ametekeleza lakini sio kwa namna ile aliahidi yaani kama amecompromise flani hivi.

Kama tunagefanya hivi na sie ingekua poa sana, yaani zile ahadi zote sijui mia ngapi zile alizotoa mkuu wa kaya kama tuziweke zote sehemu moja accessible (sio kwenye ilani ambazo mwenye nazo ni nape tu) afu tucheck zile zilizotekelezwa na zile hazijatekelezwa.

Pia tupime na ahadi zenyewe, zina tija? isije kuwa mtu anasimama jukwaani anawaahidi atashughulikia bei ya sukari, maana mi nina wasiwasi na hawa wenzangu, uchelewi kusikia nitahakikisha sukari inauzwa 1700 kwa kilo!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom