Rostam amruhusu Nape Kuingia Igunga

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,435
Jamani hizi ni Tetesi na ninaendelea kuzifanyia Kazi

Habari ambao bado haijathibitishwa zinasema kwamba Hatimaye Lile Gamba kuu lililogeuka Karata ya Ushindi ya CCM Igunga, Rostam Aziz ( Ambaye kwa heshima kubwa kabisa alipewa Nafasi Katika Ufunguzi wa kampeni) amemruhusu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye kwenda Igunga lakini kwa Masharti.

Moja kati ya Masharti aliyopewa Nape ni kutotumia Neno Gamba na vile vile Kuimba Sifa za Rostam ( Kama alivyofanya alivyoenda kuhani Msiba wa Kijana aliyegongwa na Fuso la CCM)

Ikumbukwe kwamba wale wote waliokuwa wanaendeleza Siasa Uchwara ( Gutar Politics) kwa Mujibu wa Rostam walipigwa Ban kukanyaga Igunga hasa Siku ya Uzinduzi.

Mytake:
Kama Hizi Habari ni za Kweli basi RA ana nguvu sana, yaani Mumsengenye mpaka aachie Ubunge, halafu aweke Mgombea wake na yeye ndiye apange timu ya Kampeni
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,321
Kwani mwenye idhini ya nani aende igunga na nani asiende ni Rostam? hebu acha kuhadaa wananchi...
 
Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
acha uongo **** wewe...wu z rostam ad ampge ban nape?.Ebu jadilini ya kwenu,ya kutaka kumbaka DC We2...mtafutien demu mbunge wenu atoe MWANI..co kuzusha upuuz upuuz
 
Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,435
acha uongo **** wewe...wu z rostam ad ampge ban nape?.Ebu jadilini ya kwenu,ya kutaka kumbaka DC We2...mtafutien demu mbunge wenu atoe MWANI..co kuzusha upuuz upuuz

Mkuu wewe ndiye Nape? Anayeweza kuthibitisha ni Nape au Rostam ila kwa Sababu Nape ni Member humu atakuja Kuthibitisha au kukanusha
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
acha uongo **** wewe...wu z rostam ad ampge ban nape?.Ebu jadilini ya kwenu,ya kutaka kumbaka DC We2...mtafutien demu mbunge wenu atoe MWANI..co kuzusha upuuz upuuz
hvi anakulipa ujira wa kiasi gani mana naona toka umejiunga humu huachi kumsifia mwanaume mwenzio....................nakwambian hiviiii utaja olewa mtto wa kiume
 
kibunda

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
403
52
Vyovyote iwavyo, Nape mwenyewe ameshajilalilisha. Hasa kwa kufungwa mdomo. Hivi sasa hawezi tena kuzungumzia kujivua gamba. Kampeni iliopo ni kuvaa gamba vizuri. Hiki chama kweli,......
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
crappy politics@work

we need food, sugar, cheap fuel, good roads, better loan conditions and quality social services

fook dirty politics
 
Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
<font size="3">hvi anakulipa ujira wa kiasi gani mana naona toka umejiunga humu huachi kumsifia mwanaume mwenzio....................nakwambian hiviiii utaja olewa mtto wa kiume</font>
<br />
<br />
kwa 7bu wewe umeolewa unafkiri kila mtto wa kiume ataolewa...pole!kdumu
 
Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,689
474
ukiwa mtumwa utatumiwa kweli kweli, mara usije mara njoo kwa masharti ili mradi kaazii kweli kweli
 
GAGAGIGIKOKO

Senior Member
Jul 31, 2011
125
16
Hivi wewe ni great thinker AU GREAT SINKER?Lete hoja siyo matusi hapa JF.Yaani wewe ikitajwa CCM tu basi kinachofuata ni MANENO YAKO YA SHOMBO.CCM itake isitake lazima tuisokomeze kwenye choo cha shimo igunga.
 
kiloni

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
575
75
Jamani hizi ni Tetesi na ninaendelea kuzifanyia Kazi

Habari ambao bado haijathibitishwa zinasema kwamba Hatimaye Lile Gamba kuu lililogeuka Karata ya Ushindi ya CCM Igunga, Rostam Aziz ( Ambaye kwa heshima kubwa kabisa alipewa Nafasi Katika Ufunguzi wa kampeni) amemruhusu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye kwenda Igunga lakini kwa Masharti.

Moja kati ya Masharti aliyopewa Nape ni kutotumia Neno Gamba na vile vile Kuimba Sifa za Rostam ( Kama alivyofanya alivyoenda kuhani Msiba wa Kijana aliyegongwa na Fuso la CCM)

Ikumbukwe kwamba wale wote waliokuwa wanaendeleza Siasa Uchwara ( Gutar Politics) kwa Mujibu wa Rostam walipigwa Ban kukanyaga Igunga hasa Siku ya Uzinduzi.

Mytake:
Kama Hizi Habari ni za Kweli basi RA ana nguvu sana, yaani Mumsengenye mpaka aachie Ubunge, halafu aweke Mgombea wake na yeye ndiye apange timu ya Kampeni
Maskini NAPE ataimba nini sasa kama siyo Gamba!! gamba!! gamba!! tumevua gamba!! gamba!! gamba!! humwoni Rostam tumevua gamba gamba. Kichekesho. Halafu atalazimishwa aimbe Rostamu mwanaumbe wa shoka!!!!
 
Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,921
1,133
acha uongo **** wewe...wu z rostam ad ampge ban nape?.Ebu jadilini ya kwenu,ya kutaka kumbaka DC We2...mtafutien demu mbunge wenu atoe MWANI..co kuzusha upuuz upuuz
<br />
<br />
We Ni CD SIKU IZI?
Mbona hukusema kama wauza sasa?
Unatia sana aibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom