Ukweli ni kwamba hii kauli inataka itumike na wana CCM ili waibe kura.
Wapenda haki msigeuze shingo,muwe makini na aina yoyote ya wizi unaotaka kuhalalishwa hapa igunga.
Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo...
Shy-Rose Bhanji
baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa...
nimejaribu kuweka picha za...
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu...
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa...
wakuu nimemaliza kuangalia taarifa ya habari ya saa nne asubuhi katika kituo hiki cha televisheni,nilitegemea habari ya kwanza ihusu uchaguzi wa igunga,lakini hakuna habari yoyote iliyorushwa...
Sat, Oct 1st, 2011
Tanzania
Joel Bendera
Abuse of public funds and denial of justice in delivering public service will not be tolerated and dishonest civil servants should consider...
neno free n fair election sio gen kwa wataanzania kila baada ya uchaguz kuisha.ila kinachonchanganya mimi ni vigezo gan wanavitumia.labda sawa watu wanaweza kua free.lakin utasemaje fair wakat...
Naona tunacholishwa Igunga kupitia Tv zetu ni sumu tupu,kwanza leo asubuhi baada ya ITV kusema wako live CCM wakaamua kuukata umeme ili wajipange vizuri kuepuka kuonesha misululu ya vijana...
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha...
KAMPENI za uchaguzi mdogo katika jimbo la Igunga, zimezidi kupamba moto baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kujiapiza mbele ya wananchi kuwa atakunywa sumu iwapo chama hicho...
Na Maggid Mjengwa,
Ndugu zangu,
Kule Igunga leo Jumapili wanafanya uchaguzi mdogo kujaza kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na Rostam Aziz. Tunawatakia uchaguzi mwema na wa amani. Juma...
Islam ni dini iliyokamilia!
Haiitajiki abadani nasema!! mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya...
Mngulu anasema hayuko tayari kuona wapinzani wakisherehekea ushindi hata kama watakuwa wameshinda .Haya ni matatizo kwani mwaka jana majimbo mengi ambayo wapinzani walishinda yalitangazwa baada ya...
kumekuwa na tuhuma kila tunapokuwa na uchanguzi hapa nchini hasa zinazo husu kuchakachuliwa kwa matokeo. Nilikuwa na waomba wanaJF hebu tujaribu kutoa mawazo yetu ya kujenga, kuwa nini kifanyike...
Kwa ufuatiliaji wangu kwa kadri ya uwezo wangu,nimegundua maovu mengi yaliyobainishwa hasa hasa toka mfumo wa vyama vingi kuanza nchini mwetu.Najua kuna maovu mengi,ila kwa leo nayarejea machache...
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari...
Habari za uhakika kutoka tbc1 live zinasema mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la mwajuma shaaban kiura mkazi wa igunga amekuta jina lake limeorodheshwa katika majina ya watu waliokufa na...
Ikiwa tarehe ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa kiti cha ubunge wa Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz aliyejivua gamba ikitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Minyukano...
Nikiwa naamini kabisa kuna kundi kubwa la watu hawatapata fursa yao ya kikatiba kupiga kura kwa sababu ambazo Tume ya Uchaguzi NEC wanakijua na wanafanya makusudi kutoliboresha daftari kila mara...