Tanzania ya kesho i mikononi mwetu

NEWIKA

Member
Jul 17, 2011
9
1
wana jf,napenda kutoa maoni yangu kama mtz,nchi inavyo enda nazani si kama lina viongozi makini na nazani kuna haja ya msingi wa kufanya mabadiliko yasiyo jali itikadi za vyama,tufanye mabadiliko ya sura yoote ya uongozi wa kitaifa kwa kuwaweka wengine madalakani,mimi ni mwanaccm ila tangu nilipoanza maisha ya kijitegemea nimeona afadhari nirudi kwa wazazi maana kila siku na juhudi zoote ninazozifanya maisha yanazidi kuwa magumu tu,.nina ushahidi mzuri sana ambao siku moja nitauweka humu wa mtu wa karibu yangu sana anavyo niambia mipango inavyo sukwa katika kuhujumu uchumi wa nchi,,yanayofanyika ikuru ni zaidi ya huu ufisadi tunao uzungumza,,ngoja nicompile data pamoja kurekodi mazungumzo very soon nitaweka mambo azarani.NITAHITAJI ULIZI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom