CCM Shukuruni Chadema Hakikusimamisha Mgombea 2010

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167
Nimemsikia Nape akitapika na kula matapishi kwenye taarifa ya habari ya moja ya vituo vya redio hapa Bongo.


Ati Chadema wamebaka demokrasia. Sijui huyu mtumia-mkorogo ameupata wapi huu msemo wa kijinga maana kila akisogezewa microphone wimbo wake ni mmoja...Chadema kubaka demokrasia.

One thing, CCM have to thank their gods: Chadema hawakusimamisha mgombea uchaguzi mkuu 2010, maana wangeshindwa vibaya katika hii By Election.

Nepi lazima akubali kuwa Watanganyika sasa wanachokitaka ni kuiondoa CCM madarakani na kuiweka Chadema.

Chadema ni nyuki.

Nyuki hakumbatiwi.


Nampa homework Nepi:

Honga mahakama, batilisha matokeo Jimbo la Ubungo, Kawe, Arusha na kwengineko mtakakotaka.

Tangaza tarehe ya uchaguzi halafu uone moto.

Szczesny kabisa.

People's Power!!
 

Dume la Mende

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
423
64
CCM watu wabaya sana,, mnasababisha watu wanalia namna hii?? siku nyingine msiumize nyoyo za watu kama hivi bana,, mnapeleka kilio bila huruma??
 

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
36,969
24,619
nakuhakikishia mkuu jijini arusha hakuna arufu ya ccm kabisa!!!! yani hata wawamwagie mabilioni wakazi wote wa arusha its realy a futile cycle. yan mkoani arusha ccm waandike mumivu kabisa. labda baada ya miaka kama hasini mingine hivi ndo watanusa jimbo la arusha mjini.
i wish mikoa mingine ingekuwa kama arusha.
 

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,164
Kinachoshanga na kusikitisha ni kwamba CCM siku hizi hawaelezei sera za chama chao, wao sera yao ni kuelezea ubaya wa CHADEMA, what a sick move??????????
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom