Tunawasubiri CHADEMA mje na sababu zenu Igunga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunawasubiri CHADEMA mje na sababu zenu Igunga!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by gimmy's, Oct 3, 2011.

 1. gimmy's

  gimmy's JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2,361
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  CDM kwa CCM hana tofauti na mtoto mdogo tena uliemlea mwenyewe tabia zake lazma uzifaham.Sisi tumewazoea haya vp kelele zenu zimeishia wapi?Vipi CCM wameingiza tena kontena la vipodoz?
  Ushindi ni strategy sio kulalama!
   
 2. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  uuuuupuzi huo ndugu. chukua time sepaa
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  Akili zako hovyoooooo! unaropoka tu bila hata kujua maana ya kile unachoropoka
   
 4. D

  Dr Kingu Senior Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera yenu ccm, cdm mjipange na muandikishe wanachama vijijin na jengen ofice kwenye wilaya na kata. Maandamano yanayohusisha mashabiki siyo kura. Mkijua idadi ya wanachama wenu ndo kura zenyewe.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kura za CUF zimeuzwa kwa CCM. Unategemea nini?
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Magwanda huwa hawana sababu za maana, wao wanasusa tu, ngoja uone watavyosusa.

  Nawapa pole sana Magwanda kwa kujeruhiwa kisiasa Igunga. Igunga ilikuwa ni turufu ya 2015. Majeraha yaliyowakumba Igunga si madogo yasipelekee kifo chenu, yatafutieni tiba za haraka haraka. Niwajuavyo magwanda wataanza kutafuta machawi kwani katika chaguzi zilizopita tuliona walivyokuja na kusema Zitto ni msaliti anaongea na Rostam Aziz na Jack, hata vielelezo vya sms vikaletwa, sasa safari hii sijui mchawi ni nani, kwani walijisifu sana humu wamedhibiti kila mahali na ushindi ni wao. Napenda kuwajulisha kuwa mchawi wao ni ufinyu wao wa maarifa na wamekuwa wakiongelea watu badala ya mambo muhimu. Hata Igunga ilikuwa ni hivyo hivyo, niliwasikiliza hotuba za Slaa na Mbowe, nikadhani ni wachungaji wanaohubiri Jangwani, walibadili hata sauti zao na kuzifanya za kixhungaji walipohuburi, sijui ni nani aliwadanganya kuwa ukitumia sauti za kichungaji utawapata wengi, well, wamewapata wengi lakini haikuwa good enough.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Mlikuwa wapi? na nyinyi ndio mlikuwa na ndoa ya mwanzo na CCM huko Kigoma?
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Ccm kushinda mpaka mnaingizwa kwenye life supporting machine?CDM si mchezo
   
 9. p

  politiki JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ili kuweza kupata ushindi huu mwembamba CCM imebidi isaidiwe kwa kiasi kikubwa na Serikali, polisi, Usalama wa Taifa, Mgambo, Bakwata,
  kununua watu kwa mahindi na sukari, kuzua matukio ya kutengeneza, kuweka wabunge ndani hivi vituko vyote ni kinyume na demokrasia
  ambayo wamekuwa wakihubiri kila siku.

  ushauri wangu kwa chadema:
  jipeni muda mufanye analysis yenu kujua what really happened? kama mnaona kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi
  basi muende mkafungue kesi mahakamani ili mahakama itengue matokeo haya ambayo binafsi naona kama Selikali ilishiriki kinyume
  kabisa na sheria za uchaguzi kwani viongozi wa serikali hawaruhusiwi kujiusisha moja kwa moja na uchaguzi na hasa kwa kutoa ahadi
  za kutumia kodi za wananchi kuwafanyia watu hiki na kile hiyo ni Hongo ya mchana na pia inaondoa fairness kwenye election kwani
  vyama vingine visivyo na serikali havina nafasi ya kufanya hivyo.
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MATOKEO YA NAPE YATAUMBUA CCM ZAIDI KUHUSU UCHAKACHUAJI WAO WA
  KUNUNUA KURA ZA CUF NYUMA YA PAZIA IGUNGA


  [​IMG]
  Hebu fikiria

  1. mtokeo ya kata moja iitwayo
  MBUTU yametolewa mara mbili kwa takwimu za aina mbili tofauti huku CCM ikipata kura nyingi mno katika mazingira hiyo tata (Matangazo ya Nape).

  2. Katika hali isiokawaida,
  kura za CUF zimepotelea wapi ghafla wakati ni chama kimojawapo kilichokua nga nguvu sana Igunga???????

  3. Kwa nini Nape kama kiongozi mojawapo wa vyama vinavyoshindana katika kinyang'anyiro hicho
  aachiwe jukumu la KUTANGAZIA TAIFA matokeo ya uchaguzi???

  4. Kwa Mujibu wa 'Matokeo ya Nape', CCM imeshinda kwa kura
  26,266 na CHADEMA 22,443 lakini kwa kura zilizotokana na kata 22, je kura za kata zingine 4 ziko wapi na kitu gani kinatuminisha kwamba ushindi unaweza ukapatikana bila kata hizo 4???????????

  5.
  Kwa nini Tume ya Uchaguzi ishindwe mpaka sasa hivi kujumlisha na kutangaza matokeo ya Igunga mpaka hivi sasa lakini Nape na CCM wao waweze????????????

  Bila HAKI uchaguzi Igunga bado haujafanyika kamwe!!!!!!!!!!!!!!! Kweli hizi ni Saisa uchwara mtupu chini ya CCM inayoelekea kufa kabla ya 2015.

   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Umeshindwa, umeshindwa tu. Huna sabau za msingi. Unaanza kulekule ulikofanya makosa. Mkitaka kushinda muache kuongea sana muanze action. Siasa za kuongea sana zilikuwa za kina Nyerere na hazikuleta tija kwa nchi, siasa za sasa ni action. Fanyeni muiendeleze nchi kama wapinzani. Na si kupiga kelele.
   
 12. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Big up cdm kwa resource walizotumia ccm washindi ni nyie,na hii ni dalili njema ktk siasa za tanzania,i know 2015 kila mtu atajitetea nafsi yake na ndipo hapo ccm popote walipowatakapo anguka kwa wingi,magufuri ameahidi madaraja inabidi awajengee cos 2015 sio mbali.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  Hivi CCM imefanya kipi cha kuendeleza nchi kama chama kilichopo madarakani? Nchi iko gizani huku ikiendelea kufilisiwa na wajanja waliomo ndani ya nchi na wa kutoka nje ya nchi, unaweza kuorodhesha machache yaliyofanywa na CCM katika kuiendeleza Tanzania?
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,024
  Likes Received: 8,508
  Trophy Points: 280
  Kwa ccm igunga ndo iwe mfano hasa wa kutimiza ahadi zao.yale maji ya victoria yafike igunga faster na ya madaraja na infrastructure vipewe priority vinginevo ikitokea uchaguzi mwingine igunga itatumika kama feedback kwa ccm na chadema pia.
  Dah kafu mnatia huruma.
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzz, pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!1
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ww ni mnafiki usiyejua wapi utokako na uendapo
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu uliyoyasema yana ukweli ndani yake. Magamba watambue haya yote yana mwisho na sio mrefu
   
 18. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kumbe ff, basi tu. Nitapoteza muda bure.
   
 19. S

  Sumu JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Amesema ukweli mtupu. I HATE CCM lakini kuwatoa madarakani kwa njia ya kura tusahau. Labda nchi nzima iwe kama wananchi wa mkoa wa Mara.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Je ccm wamefanya action zipi? Za kuuza rasilimali zetu! Kuingia mikataba feki? Au viongozi wao kutumia majanga kujitajirisha, ni ukweli usiopingika mchawi wa TZ kupata maendeleo ni ccm
   
Loading...