Sherehe za uhuru zimechakachuliwa

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
kimtazamo, uhuru tunaopaswa kusherekea ni kuzaliwa kwa taifa la tanganyika, hata bendera inayotumiwa ni ya jamhuri ya muungano wa tanzania, viongozi wameuza utuwetu watanganyika katika muungano, ni aibu kuitupa asili yetu kama inavyofanywa sasa. kwasababu ya malengo ya kuimeza zanzibar viongozi wamekuwa waoga na hawapendi kutaja lolote kuhusu tanganyika.

Mimi nafsi yangu inapinga sherehe hizi ambazo ni za uongo ukilinganisha na ukweli, kuzaliwa kwa tanzania nisherehe za muungano wa tanganyika na zanzibar.
 
Back
Top Bottom