Kwa hili CCM na serikali yake mnasitahili pongezi kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili CCM na serikali yake mnasitahili pongezi kubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tikatika, Oct 4, 2011.

 1. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,255
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  Kwanza nawapa pole kwa wote wenye kuwa na elimu ya uraia na uzalendo kwa nchi yaopili tunapaswa kuwashukuru ccm na serikali yao kwa kufauru kwa haya yafuatayo:

  Wamefauru kuwanyima elimu ya kawaida na ya kiraia wananchi kiasi kwamba hawajui NCHI hii ni yao kama duka lako usivyoweza ruhusu mshenzi yeyote akaja kuchukua chochote!! hivi ungetegemea kwa wenye akili za kupambanua mambo ungetemea wanachi kuendelea kuichagua CCM IGUNGA huku serikali ikiwapa wezi bns 111 na ndicho kilicho sababisha na viningine vingi?

  DOWANS inapewa mkwanja huku umeme hatuma bado watu wanashabikia ! Duu unapokuwa shabiki wa CCM unatakiwa uwe chizi fresh ili haya uwe uyaoni!!! Hivi ungetegemea kafumu aliyezidiwa na walevi kuongeza pato la Taifa apite? hivi ungetegemea serikali iliyotoka kuua watu kwenye meli bado mnaibarik kwa kura ndani ya mwezi huo huo?

  Yapo mengi sana ya kuyalaani, hebu ongezea mwana JF ili nisikuchoshe kuyasomaila usisahau unapokuwa mwana CCM ni mwizi au mbumbumbu na chizi fresh ili usione haya!!! Nawasilisha
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Ccm walishinda Igunga kwa hila na si ridhaa ya wananchi,kama huamini subiri 2015 uone Igunga kama itabaki ccm.
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,828
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Duh haya mkuu mie sina la kuongeza pongezi zako nimezikubali nakuunga mkono
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ...........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  una udhibitisho wa hayo unayoyasema?
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 4,958
  Likes Received: 834
  Trophy Points: 280
  Kwani ukweli ni upi?
   
 7. O

  Omr JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayo ni madogo ukifananisha na ukabila na udini uliopo CDM.
   
 8. T

  Tata JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,336
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 180
  Hapa ndio CHADEMA mnapochemsha na kwa mtaji huu mtakuwa watu wa kulalamika tu kila uchaguzi unapotokea. Hivi hamkujua mapema kuwa CCM wana hila na hawatasita kuzitumia ili washinde kwenye uchaguzi? Kama hamkujua basi bado mnahitaji kujifunza siasa za Tanzania kwani hata hiyo 2015 bado CCM watatumia hizo mnazoziita hila tena kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi. Kama mlijua mlichukua hatua gani?
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 55,347
  Likes Received: 16,767
  Trophy Points: 280
  Kufauru ndio nini?
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Afhadhali umewaambia, jana nimepost topic humu kuhusu majibu ya Mh. Mbowe Cannel ten tayari nimeshstumiwa message ya private kunionya. Natambua kuwa sina kosa katika hilo bali iliwagusa sana, by the way JF is a social network otherwise iondoe
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Waache hao hawajui walisemalo.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Maelezo yako japo yana chembe chembe za ukakasi lakini na ukweli nao umo mle; KATIBA MPYA haraka.

   
 13. regam

  regam JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Siyo hila ila ni umbumbumbu wa wananchi sababu ya kukosa elimu.
  Kama ni kwa hila wangeandamana. Kwani wewe hukuona kwenye tiivii wakisherehekea!
  Kukosa elimu ni umasikini mkubwa sana!
   
 14. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,834
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Asante sana kwa mawazo yako mwanana,Kweli wa tz tunafanya makosa makubwa sana kumpa nchi mkoloni ccm.
   
 15. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,834
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mungu akusamehe kwani hujui utendalo
   
 16. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,966
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Aaaahaahaaa. Umeniwahi FF. Eti KUFAURU.
   
Loading...