Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Siku tutakapoacha kupanga maendeleo yetu kwa kutegemea misaada ndipo tutakapoondokana na umaskini! 2. Siku tutakapoacha kutembeza bakuli kuomba misaada ndipo tutakapopata demokrasia na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeshtushwa na taarifa kuwa wakala CDM hajulikani alipo tangu uchaguzi uishe, Polisi hawana taarifa japo wamekiri kuwakamata vijana wa CDM na kuwahamishia magereza tofauti bila kuwapa taarifa ndg...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Swala la malipo ya Dowans ni katika mojawapo ya mambo yaliyozua mjadala mzito kitaifa na kuvuta hisia kali kutoka kwa wale Watanzania wengi walio na uchungu na nchi yao. Nisingependa kuamini kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa CCM mbaroni Send to a friend Friday, 07 October 2011 19:43 Mwandishi Wetu MBUNGE wa Mbarali (CCM), Modestus Kilufi amekamatwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo mwanga, Chadema Wana mkutano wa hadhara unahytubiwa na Katibu wa Chadema mkoa wa kilimanjaro kamanda Basil Lema, kamanda Kilewo, kamanda Nassari Joshua aliyegombea arumeru mashariki, diwani...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote...
0 Reactions
244 Replies
19K Views
Kesho saa 9 mchana Makamanda wapambanaji: Freeman Mbowe, Tindu Lisu, Ndesamburo na Mbunge wa Arusha mjini mh Godblees Lema watakuwa na mkutano na wana-Arusha kwenye uwanja wa NMC...Usikose...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Ndugu wanajamvini! Napenda kumfananinisha Dr. Kafumu na mwindaji aliyeenda kutafuta kitoweo na baada ya kupata kitoweo kalejea nyumbani. Zamani enzi zile za gari la moshi la kuchochea kwa kuni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jinamizi la Igunga laing'ang'ania CCM *Mabalozi 18 wajiengua, wadai rushwa ilitawala *Madiwani Songea wagomea kikao kupinga uchaguzi *M'kiti Lushotoa ajiuzulu kwa tuhuma za ufisadi Na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wenye television tuangalie ITV muone mama Nkya na wanaharakati wanavyoichambua dowans,kaazi kweli kweli.Mliuficha wapi ushahidi wote huu na kwa nn sasa?.
11 Reactions
237 Replies
19K Views
Katika kauli ambazo wanasiasa wanatakiwa kuepuka ni kauli za kichochezi. Nilihuzunika sana nlvomsikia Nape akiwahadaa Watanzania kuwa Tanzania inawenyewe na wenyewe ni CCM. Sijajua kama Katiba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa habari niliyo pata kutoka pale wazo kiwanda cha cement inasemakana serikali saizi inaagiza cement kutoka nje kwa matunizi yao na kwa ile cement inayobakia wanampatia mhindi mmoja anaitwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi mpenda mabadiliko Tanzania nimefuatilia uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Igunga na kuona jinsi kampeni zilivyokuwa. Kumetokea matukio mbalimbali ya kukashifiana,kumwagiana tindikali,bastola...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala wakati wa vikao vya bunge letu tukufu,nilichogundua ni kwamba uwezo wa baadhi wabunge wetu ni duni mno kiasi ya kuwa wanashindwa kuchangia mijadala muhimu sana kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hali ya kisiasa CCM Songea yazidi kuwa tete MADIWANI wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Songea Mjini wamesusia kikao kilichoitishwa na viongozi wa Chama hicho wilaya kwa kile kilichodaiwa ni mgomo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekua nikijiuliza hivi Tanzania yetu ya sasa haihitaji tena wawajibikaji au wazalendo bila kutaka kuwa wabunge au marais?????nasema hivi kwakuwa imekuwa desturi sasa Tanzania, hasa kwa wana...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Friday, 07 October 2011 19:52 Mwandishi Wetu mwananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kilipata wakati mgumu katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Igunga, licha ya mgombea wake, Dk Dalaly...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naangalia taarifa ya habari TBC 1 wanasema kuwa mbunge wa MBALALI mkoani Mbeya ametishia kumuua afisa mtendaji kata cjawapata vzuri jina la kata. Mbunge huyo kakamatwa na polisi
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Nilitamani kuandika heading yangu hivi " polisi (vyombo vya usalama) ya Tanzania ni sawa na mbwa mzee" . Wakuu wanajamvi, nimekuwa nikitafakari huu mchezo mchafu , wa kisanii unaochezwa na vyombo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zanzibar ni mojawapo ya nchi za Afrika ambazo zimeweza kurinda uhuru wake.Nchi nyingine ni kama Eritrea,Djibout na S.Sudan lakini nchi kama Tanganyika aka TZ BARA ilishindwa kulinda uhuru wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…