Mbunge wa Mbalizi (CCM) mbaroni kwa tishio la mauaji

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
963
Naangalia taarifa ya habari TBC 1 wanasema kuwa mbunge wa MBALALI mkoani Mbeya ametishia kumuua afisa mtendaji kata cjawapata vzuri jina la kata. Mbunge huyo kakamatwa na polisi
 

Mnyakatari

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,934
1,643
Ni kutoka TBC1 habari.

Mbunge wa Mbalizi CCM anashikiliwa na polisi tangu saa tisa alasiri kwa kosa la kutishia kumuua afisa mtendaji wa kata.
 

mpuuzi

Member
May 29, 2010
99
17
TBC wehu kweli, hawajataja jina lake wala chama chake. Angekuwa wa CDM tungetajiwa hadi wajukuu wake
 

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
254
35
Wamezoea kuua hao vp yy hakuwa na bastola, hii inanikumbusha ishu ya ditopile kuua kwa risasi hlf ****** akamtoa selo, aise magamba bwana.
Nasikia rage naye kasema waandishi wasimfuatilia atakuja kumpasua mtu kifua hlf atasema hakukusudia.
 

Yassin Madiwa

Member
Oct 2, 2011
44
7
Jamhaani mimi hata simjui je huyu ni mbunge wa chama gani? kama ni wa ccm basi sheria inaanza kuchukua mkondo wake bali kama ni wa CDM JUA MAGAMBA YANATAPATAPA
 

Yassin Madiwa

Member
Oct 2, 2011
44
7
Jamani nimeshajua ni mbunge wa CHAMA CHAWALA angelikua wa CDM wangeta hadi ukoo wake na alipozaliwa: lakini kwa kuwa ni wale mafisadi wamepigwa mkwara wasisema hata wa chama chao aibu
 

Bakeza

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
348
191
Naangalia taarifa ya habari TBC 1 wanasema kuwa mbunge wa MBALALI mkoani Mbeya ametishia kumuua afisa mtendaji kata cjawapata vzuri jina la kata. Mbunge huyo kakamatwa na polisi

kazi kwelikweli
 

Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
256
Jamhaani mimi hata simjui je huyu ni mbunge wa chama gani? kama ni wa ccm basi sheria inaanza kuchukua mkondo wake bali kama ni wa CDM JUA MAGAMBA YANATAPATAPA

siamini kama upo sawa!
huyu mbuge kwa asiye mfahamu kitaaluma ni mwalimu, na ana historia ya kukurupuka na mambo, amewahi kuwa diwani na amekuwa na migogoro mara kadhaa ukiwemo ule wa kuwahamisha wananchi kwenye bonde la ihefu, na kiasi cha wapiga kura wake kubaki na wakati mgumu. ingawa tatizo si lake ni shule ndogo.
 

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
sasa wao wanasema jeshi la polisi liliweka mtego wa kumkamata mbunge huyu na wamemkamata sasa sielewi koz inamaana alishawai kutishia tena wakashindwa kumkamata ndio wakaamua kumuwekea mtego wa pili au?????????? anayeelewa zaidi plz ufafanuzi
 

Makamuzi

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,155
263
Naangalia taarifa ya habari TBC 1 wanasema kuwa mbunge wa MBALALI mkoani Mbeya ametishia kumuua afisa mtendaji kata cjawapata vzuri jina la kata. Mbunge huyo kakamatwa na polisi

Mbunge ni magamba na afisa mtendaj nae anafanya kaz chini ya magamba..
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,334
Wamtie Selo na fungo waitupe kwenye choo cha shimo isionekane tena, pumbavu yake. na lini Kikwete nae atakamatwa?
 

Yassin Madiwa

Member
Oct 2, 2011
44
7
Hitawezekana: hiyo ni gelesha ya Chama cha Magamba: mwisho wa siku will be free kama Mzuzuri bin Dito: Kama liumba pamoja na kujichukulia machenchi yote yale kafungwa mwaka mmoja huku kwetu aliyeiba kuku wa elfu kumi kafungwa miaka 14 Jamani nisaidieni How do we translate the law katika makosa ya jinanai? Nasema hapa hafungwi mtu watamtoa mapema na Hata angepelekwa mahakamani wataweka mazingira safi mheshimiwa awe salaam:
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,981
63,962
nilisema hapa CCM ni wauwaji na majambazi sawa kabisa na alichokisema Mch. Malebo na akaiweka ile video kwene mtandao only that niko kwa mobile ningeiweka hapa title yake ni CCM IMEZEEKA.
 

jigoku

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,413
730
Hiyo ni danganya toto tu,kwani magamba jama mmewasahau,historia yao ni ya ovyo na wanajiona wako juu ya sheria,ila kama wangekuwa ni CDM kweli wakuu naunga mkono mia kwa mia wangetaja mpaka hawara zake kama angelikuwa nao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom