Je hukumu ya Dowans ilipangwa isomwe sambamba na uchaguzi mdogo Igunga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hukumu ya Dowans ilipangwa isomwe sambamba na uchaguzi mdogo Igunga?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KALABASH, Oct 9, 2011.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Swala la malipo ya Dowans ni katika mojawapo ya mambo yaliyozua mjadala mzito kitaifa na kuvuta hisia kali kutoka kwa wale Watanzania wengi walio na uchungu na nchi yao. Nisingependa kuamini kuwa mahakama inafanya kazi zake kisiasa lakini kusomwa kwa hukumu hii wakati macho na masikio ya Watanzania yalikuwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga naliona kama jambo la makusudi lililofanyika ili ku prempt mshtuko uliotegemewa kuwapata Watanzania kutokana na kubebeshwa mzigo wa malipo ya Dowans. Wana JF nasuburi maoni yenu.
   
 2. N

  Njopa Senior Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Unachosema inawezekana, lakini mie kwa upande wangu kama kweli mahakama ilifanya siasa basi it was in favor of CDM kummaliza Dalali na nikawaza CDM wamepata silaha ya mwisho ya kummaliza, nasikitika kuwa viongozi wetu CDM they did not make use of it!!!!!!! kwa mfano wangelimhususha moja kwa moja dalali yule maana anatokea wizara ile na wangetangaza azimio la maandamano instantly Igunga.
   
 3. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  very interesting. Huu ni upande mwingine wa shillingi ambao sikuufikiria kabisa na unao elekea kuwa na mantiki vile vile. Ahsante kunielimisha.
   
Loading...