CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Organizer, Oct 7, 2011.

 1. O

  Organizer Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi mpenda mabadiliko Tanzania nimefuatilia uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Igunga na kuona jinsi kampeni zilivyokuwa.

  Kumetokea matukio mbalimbali ya kukashifiana,kumwagiana tindikali,bastola mkutanoni,kufyatua risasi nk ambayo kwa namna moja ama nyingine yalitia dosari kampeni za uchaguzi huo.

  Ukiangalia kwa makini utaona kuwa hayo matukio yamehusisha wanachama wa vyama tofauti lakini tukio la kumkamatwa na kushikiliwa kwa DC wa Igunga kipindi kabla ya kampeni ni tukio lililokihusisha Chadema moja kwa moja kama chama.Hili tukio halikuwa la kistaarabu kwa kuwa DC wa Igunga alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi na hakupaswa kudhalilishwa kiasi kile.

  Tukubali tusikubali ni kwamba kitendo cha kumdhalilisha DC wa Igunga kimewapunguzia KURA Chadema kwa kuwa CCM + magazeti yao walichukua hicho kitendo kama mtaji wao wa kisiasa na wamefanikiwa kwa hilo.

  Kwa heshima na taadhima napenda kumuomba Dr.Slaa kwa niaba ya CDM wamuombe radhi DC wa Igunga na wananchi wote wa Igunga na hii itaonesha kuwa CDM imestaarabika na ni chama cha waadilifu na itawezesha CDM kukubalika zaidi jimboni humo.
   
 2. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Wewe ndo unatakiwa uombe radhi CDM kwa kuandka upupu na kitu usichokijua!
   
 3. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Anayefikiri kwa kutumia masaburi utamjua tu wala huhitaji kuambiwa anatumia masaburi. Kama ni bibi yako na unaona amevunjiwa heshima umwombe radhi wewe mwenyewe na umwambie kuwa siku nyingine asifanye hivyo tena na akijaribu mwambie atakosa kichwa.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Chadema walifanya kitendo cha kishujaa kumdhibiti mhalifu.Inabidi wapenda demokrasia na haki kote nchini wafanye maandamano ya kuunga mkono na kulaani wale wote wanaotumia nyadhifa zao kukandamiza demokrasia.
   
 5. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hatuwezi kumwomba msamaha mhalifu...tunajiandaa kuchukua dola 2015 tutawakamata wahalifu wote kama huyo CD....
   
 6. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza CDM kwa kukaa kimya kwani hawastahili kuomba radhi wala kumjibu mjinga yeyote anayeamua kutumia upumbavu wake kwa leongo la kisiasa kuharibu jamii ya watanzania na misingi yake. Kwani haiingii akilini hao Chama Cha majambazia kuamua kutumia dini kwa kuwahonga vizee vya dini viongee utumbo usio na maana eti CDM ikose kura!! Lakini je hao CCM wanaelewa sumu kiasi gani wameipanda kwa njia waliotumia??? Hao CCM ndiyo wawaombe radhi watanzania kwa kuingizi udini kwenye jamii yetu.
   
 7. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  unayajuwa majukumu oke kunamajukumu halamu na halali ujambazi nao nisehemu ya majukumu uombe usikamatwe atauvae suti kanzu nk utazaliliswa tuu
   
 8. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nahisi wakati unaandika post yako huwezi kuwa ulichamba baada ya kutoka kujisaidia haja kubwa!
   
 9. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Peleka huko¬!
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  chadema chama cha wahuni..
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  jamani mbona BAKWATA walishatoa tamko???
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hivi unafikiri kuomba radhi ni jambo dogo eeh?
   
 13. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  dc ni kada wa ccm, alijaribu kutumia nafasi yake kama kiongozi kuhujumu shughuli za CHDEMA. Kilichompata ni kiashiria cha mambo ya mbele yatakayowapata viongozi wasiojali maslahi ya walio wengi bali maslahi ya watawala kandamizi, ni bakola tu ndio dawa yao.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  na mtatukoma...............haturudi nyuma. kizazi chetu si cha khanga na tsheti.
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Organizer  [​IMG] Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 4th October 2011
  Posts : 4
  Thanks1
  Thanked 0 Times in 0 Posts
  Rep Power : 0
   
 16. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Umechanganyikiwa na hao wanao kutuma kuja kupima upepo waambie tuko farm .Kwanza wewe mbuzi kabisa .Unaleta madai hayo hapa nani kakueleza hii ni ofisi ya Chadema.Peleka ujinga wako huko ukiumwa zaidi nenda Kinondoni kawaambie Chadema uso kwa uso ujionee mwenyewe .
   
 17. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mpumbavu ukimuita mpumbavu hujamtukana! ni sawa na kumuita Mbwa ,Mbwa we! hilo siyo tusi kwa Mbwa.
  vivyo hivyo kama binadamu anayefanya upumbavu ni Mpumbavu na siyo tusi though yeye mwenyewe asingependa aitwe hivyo hata kama ndo ukweli wenyewe.maelezo ya mada hii yanadhihirisha aliyeileta ni mtu wa namna gani.
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unasema hivi kwa kuwa CDM imeshindwa au? DC Kimario hakuwa sahihi, hebu jiulize mazingira aliyokamatwa DC ni mazingira ambayo ni kama alikuwa amekwenda kumtembelea mwanao anaesoma boarding! Kwa mantiki ile kuna shaka nyingi ndani yake!
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Naona umeanza kuchemsha mapema, jf bana ni 'garbage in garbage out'
   
 20. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #20
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  nani aombwe msamaha? yule kafiri mfunga nguruwe? yeye ndo awaombe msamaha BAKWATA kwa kuwadangaya yeye muislama BAKWATA wakatokwa povu kwa kumtetea kumbe kafiri.
   
Loading...