CHADEMA changamkieni hawa wanaorudisha kadi za CCM

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,967
20,817
attachment.php
 
Acha kwanza wamalizane, haoni wanataka fidia. Ngoja kwanza wamalizane na zimwi lao.
 
Hao hawaihami CCM bali wamezoe kuhongwa na CCM, sasa wamefikia hatua wanadai kwa nguvu maana wanajuwa CCM siku zote inawanunua
 
kadi zao wabakinazo,au wakiamua wakazichome moto,pia inatakiwa wakubali kwa ridhaa yao kuingia cdm sio kuwafuata huko baada ya kupata dhoruba watachukua kadi,na wakilipwa fidia watarudisha za cdm na kuchukua za ccm tena,hivyo inabidi wafanyiwe uchunguzi wa kina kujua kama wameamua kubadilika kwa dhati,tuwe makini na wanachama,tusijepata kinashibuda
 
Ni wanafiki wakubwa hao. Akili zao bado zimeganda wakihongwa khanga tu wanasahau yote hayo na kuipigia kura CCM. Mbona mimi ninayo kadi ya CCM niliyopewa nikiwa Jeshini (Compulsory) na siirudishi, Silipii na wala sintowapa kura yangu milele hata wangemsimamisha baba yangu kugombea urais kwa tiketi ya CCM.
 
wawa hawana sifa za UCHADEMA, KESHO KUTWA WAKIPELEKEWA KANDA KOFIA NA T SHIRT WANASAHAU KABISA HATA KAMA WANACHODAI NI CHA BILLION 100.CHADEMA SI YA MAKADA MASLAHI AU WALIOSHINDWA KWINGINE. LABDA WAONESHE CV ZAO AND ITS IPLICATION WAKIJA CHADEMA
 
Sababu wanayotoa haifai kuwakimbilia eti wajiunge na cdm. Ingawa kudai fidia ni hakl yao, inabidi waelimishwe zaidi kwani elimu yao ndogo inawafanya warudishe kadi ccm; walichotakiwa kufanya ni kubakl na kadi zao, wapeleke malalamiko ngazi mbalimbali, then watumie haki yao ya kupiga kura vizuri.
Ukiwakaribisha CDM, watadhani unakwenda kuwalipa fidia wanayotaka; kwa kuwa cdm haina serikali haitawalipa na hivyo wataona kama cdm imewadanganya - mwisho wake unakuwa mbaya zaidi.
cdm nawashauri walenge ku-win nyoyo za watu na si kadi tu
 
Huu umaskini na ujinga kweli ni adui wa maendeleo eti wanadai fidia utakuta ni tsh 2500 kila mmoja wao au even less than that amount, wallah! utawasaidia vipi watu kama hawa, njaa tupu na akili zilizofunga? CCM ina bahati hawa wako wengi nchi nzima na loyalty yao ya kimaskini na ujinga.viongozi wao wa CCM wanafikiri na tumbo na kuona umbali wa pua tu na hawa walalahoi huko vijijini wanafikiri kwa mate yaliokauka na njaa na kiu kwa sababu hata chakula shida na wanaona kama viongozi wao..wajinga tu tu ndiyo wataongozwa na mapunguani...
 
Back
Top Bottom