Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, juzi alikumbana na msukosuko wa kuzomewa na wananchi wakati akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Nimejaribu kuangali kupitia umoja wa mataifa kama kuna nchi hii inayo jiandaa kuazimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara.Nimejiuliza maswali mengi mojawapo kwanini nchi inakataa kuwa member wa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Asubuhi tulitarifiwa kwamba Mzee Wa intelijensia atamwaga upupu juu ya namna jeshi lilivyoshughulikia madai ya Dr Mwakyembe. Wana JF mliopo Dar tupeni updates.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
1. To establish a One World Government/New World Order with a unified church and monetary system under their direction. The One World Government began to set up its church in the 1920's and 30's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matatizo ya kiuongozi siyo mageni hapa barani Afrika na ikiwa nchi nyingi zinasheherekea na zitasherehekea miaka 50 ya uhuru,(nyingi zilipata uhuru miaka ya 60) basi ningependa tuwachambue wale...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Thu, Oct 27th, 2011 Thu, Oct 27th, 2011| Tanzania Dowans Holdings SA Power Plant Activists have vowed to hold a peaceful demonstration this Saturday to put pressure on the government not...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Kesi inayomuhusu Mbunge wa Arusha mjini Mh. Lema imehairishwa kwa mara nyingeine kutokana na kutokuwa na spika za kutangazia ili watu walio nje wasikie na ukumbI kuwa mdogo kutokana na wingi wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania imeweka sheria zinazowabana ombaomba wa barabarani(baadhi ya Raia wake) sababu muhimu ikiwa ni kwamba kwa kuwasaidia ni kuhamasisha tabia hii. Suala hapa na Tanzania iwekewe sheria...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sarakasi ndani ya CCM bado zinaendelea. Majuzi tumemsikia Nape akisema kuwa kuna uasi ndani ya CCM. Siku moja baadae mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha akamuita Nape kuwa ni Muasi namba 1 katika CCM...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutokana na taifa letu kila kitu kuwa siasa yatupasa hata ushauri na mawazo ya kitaalam tuweke kwenye siasa ili wanasiasa waone labda wakiwashauri wanasiasa na watendaji watayafanyia kazi ...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Sigalla kwa kashifa hii huwezi kuchomoka. hii ni kwasababu umekiuka taratibu pia kutokuwa na uwazi na kutoa taarifa ya kihuni huku ukishindwa kujibu maswali yetu ya msingi ilikuwaje ukosekane...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Heshima Mbele Mkuu na Hongera kwa Kazi Nzuri.... Ni kweli kwamba nyie sio wakusanya Kodi lakini tulipofika tunahitaji msaada sababu kinachofanyika sasa hakifanyi kazi…. Plan A: Serikali...
17 Reactions
154 Replies
17K Views
Mwenye taarifa ya mahali alipo Adam Kimbisa atujuze, maana baada ya kuanguka kwenye kura ya maoni ya chama cha magamba sijawahi kusikia tena
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The Desert Fox Jenerali Ulimwengu akiwa na Ghadafi mnamo mwaka 1983 Mjini Benghazi nchini Libya Ndugu wana jf naomba kuuliza .... Kumbukumbu za kihistoria zinabainisha kuwa hata mara moja Mwalimu...
1 Reactions
41 Replies
13K Views
Kituo cha haki za binadamu kimeitisha maandamo nchi nzima kuitaka serikali isilipe tuzo ya tzs 111bil kwa dowans, wanaharakati hao wamesema maandamo yatkwenda siku kumi mfululizo iwapo serikali...
15 Reactions
156 Replies
13K Views
Hivi hii nchi ni nani alituloga? Najaribu kuufikirisha ubongo wangu nashindwa kuelewa kweli tarehe 9 disemba tunasheherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika jamni lakini tuko pale pale. kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kiongozi wa upinzani bungeni na mbunge wa hai mh freeman mbowe akipandisha bendera ya chama kuashiria uzinduzi rasmi wa shina la wakereketwa.pembeni akiwa na hemed sabula kutoka makao makuu na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimejaribu kutafakari sana bila kupata jibu japokua viongozi wetu nao pia wameshindwa kujua kwanini watanzania ni masikini kwahiyo hakuna wakutujibu na tunaelekea uzeeni tokea tumeona uhuru wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
TAASISI ya Kiislamu ya Islamic Peace Foundation (IPF) kwa kushirikiana na Baraza la Mikutano ya Kiislamu (BATAMIKI), zimesema Chadema si chama cha kidini. Tamko hilo walilitoa jana kwa vyombo...
0 Reactions
200 Replies
17K Views
kila mahali niendapo hapa nchini hujiuliza hivi utamaduni wa mtanzania uko wapi? Pamoja na sisiemu kuvibeza vyama vya upinzani kuwa ni fotokopi.......................lakini kila kitu ndivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…