Beyond politics part i- google map | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beyond politics part i- google map

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Oct 10, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kutokana na taifa letu kila kitu kuwa siasa yatupasa hata ushauri na mawazo ya kitaalam tuweke kwenye siasa ili wanasiasa waone labda wakiwashauri wanasiasa na watendaji watayafanyia kazi .

  Wabunge twale tuliowategemea kuwa ni vijana nguvu mpya hawaonekani kuwa na mwamko na mambo megine nje ya siasa. Sasa hii ni series.

  Tunwaomba wabunge wetu vijana Kina zitto, myika, Mdee, Kingwala, J.makamba na wengineo. wafikishe Pendekezo hilo huko kwa mama Tibaijuka wa wizara ya ardhi

  • Goglemap ni driving force na reference inayotumika kwenye mambo mengi hivi sasa kama Utalii, usafiri, Biashara etc . Iwe ni kwa dunia au hat kwa nchi.
  • Bara bara na majina ya mitaa ya kwenye ramani za Tanzania hajakamilika.
  • Hata mikoa mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza haina details kamili na za kutosha
  Sasa Pendekezo langu wanasiasa mwambieni huyo mama Tibaijuuka na wizaraya ardhi na seriali kwa ujumla

  • Watoe ajira hata za muda ( Eg mwaka u miaka miwili) kwa watu waliosoma vyuo vya mambo ya ardhi kwa watu wawili au watatu kila mkoa waingize taarifa za mitaa vijiji na barabara kwenye Google map ya tanzania.
  Zoezi hizi likikamilika litachochea hata maendeleo mengine ya teknolojia kama watu kutengeza aps za direction. Hata helikopta zilizopotea kwenye uchaguzi igunga zisingepotea kwa kutumia GPS apps ya google iliyotegezzwa na mtanzania

  NB.
  Meya wa rio-Dejenairo brazil mara mbili kwa wiki anasema lazima aingie googlemap kutazama ramani ya jiji lake. Aliingia matatani na google pale satelite yao ilipochukua picha za eneo kama la manzese ikaacha kuchukua picha maeneo ya vivutio.
  • Je kuna meya yeyoete hata huyo wa Arusha ambaye jiji lke linatgema utalii anajua umuhimu wa googlemap?
  • Je wizara ya utalii inajua umuhimu wa google map katika karne hii y dot.com.
  • Je wizara ya rdhi haioni ni wakati ramai ilizonazo makabatini details zae zote ziingiwe kwenye google map Nini inashindikana wakti mambo haya ni bure tu.


  Hiyo ni Google map Beyond Politics part I

  Soma Beyond Polict part 2- Seriali inasubiri nini kujaribu magari ya Hybrid.
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pigia mbuzi gitaa wewe. Ukichoka niambie nikusaidie gitaa
   
 3. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Wanaogopa itaonekana duniani kote. Wanaokwenda kuongopewa hapo marekani wakiiona Igunga ilivyo ninadhani vifaru vilivyomtoa Gadaf vitakuwa vichache. Tanzania ni vituko vituko vitupu.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wangekuwa wanaogopa mbona wangeshafanya mambo yanayotakiwa kuwaambia google wapungzue details za pale magogoni. Hata mimi wa Kasulu kigoma japo sijafika dar sasa mchoro na majengo yete yaliyomo humo mgogoni kwa jk nishajua idaidi yake n mpangilio wake . Sabau wamekalia siasa hawajui na hwtaambui hata Opprrtunity na threat amabzo google map inaleta.

  Teh teh teh teh
  Mbuzi ni nani sasa . tatizo hata CDM wanaweza kuwa mbuzi sababu wanazo halmashauri wanaongoza lakini sidhani kama kuna mambo nje ya siasa wamejaribu kuonyesha utendaji Tofauti. Ni sababu hiyo binafsi japo na mimi ni mtaka mbdiliko najua hat wakija CDM itakuwa ni mabadiliko ya Kisiasa tu. Huu ni mfano mmoja tu katik mingi
   
 5. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imenikumbusha ile thread ya website ya Ikulu
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hahahahhaa.

  Hivi Chadema na CUF na NCCR na hata CCM ni nani hasa wanahusika ka wa mambo ya teknolojia na hasa ICT ili tu atafute siku moja ana kwa ana au iwezekana tuwaandikie barua Official.


  NB
  CDM wanaogoza halmshauri hii ya googlemap wanatakiwa w by 2015 basi wahakiishe wilaya ikiwwezekana hata mikoa ya Mwanza na Arusha na data zote zimo kwenye google map. Wawaonyeshe CCM mfano.

  Beyond Politics
   
 7. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  I support your idea 100% nimekuwa nafuatilia google earth na pia google maps ambazo pia zipo kwenye mobile phones nyingi hapa bongo lakini tatizo ni hilo la kutokuwa na updates za barabara zinazopitika wala majina ya barabara, vituo na hata majina sahihi ya mitaa.

  hivi umeshajiuliza kwa nini majina ya vituo vya daladala hayana maana (hayaendani na mitaa) na yanakuwa ditermined na makonda mf. bucha, kona, kwa remmy, tiptop? mahakama ya ndizi nk

  ni wazi lazima kitu kifanyike haraka ku rescue the situation.
  wazo lingine ni kuwa na idara ya usafirishaji katika halmashauri (au katika kata) ili kuratibu mambo hayo pamoja na flow ya magari
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yes unajua kuna vitu vikifanyika vinaweza kufungua njia hata ya mambo mengine.
   
 9. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  safi sana.
  OTIS.
   
 10. afroPianist

  afroPianist Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Do you think there are any security implications to charting every location of our country to Google map and allowing unlimited access by everyone? what should be done?
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  What security implication. Can u calrfy. I 've alredy mentined if authoritiies and responsble people are concerned about security for publishing Road, School, Bus Stop, Street detail then they or we should be more worried as we can view magogoni state house in rich image. So wich is of more security concern??

  Name of roads , streets, schooosl ,villages and all other publics facilities across tanzania should be published online . No any high risk threat in doing so Infact publishing them online there is a posiibilities of opeing up more oportunities.
   
Loading...