Nani muasi ndani ya CCM?

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Sarakasi ndani ya CCM bado zinaendelea. Majuzi tumemsikia Nape akisema kuwa kuna uasi ndani ya CCM. Siku moja baadae mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha akamuita Nape kuwa ni Muasi namba 1 katika CCM na baadae mwenyekiti wa UVCCM Arusha kusema Nape ni muasi na anakivuruga chama.

Kwa maoni yako, nani ni muasi ndani ya CCM? Ni wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ama kufadhiliwa na wanaoitwa mafisadi na bado ni watiifu kwa CCM au ni wale walioanzisha chama cha siasa ilhali bado ni wanachama wa CCM?

TAFAKARI
 
Mbona chama kilishakufa muda mrefu hicho kilikuwa bado kinabebwa na majeshi tu. hivyo utakayedhani muasi unamuonea dude lilishajifia hilo aliyelimalizia ni JK.
 
Muasi namba moja ni Lowassa.
Hao wengine ni wafuasi wake wakitanguliza matumbo
OTIS.
 
Hapa naona umechanganya masomo, ndani ya CCM kuna WAASI na MAFISADI.
Waasi ndani ya CCM ni Nape, Sitta and Co walioanzisha Chama ndani ya chama i.e CCJ.
Pia katika CCM kuna mafisadi, by CCM standard mafisadi ndani ya CCM ni EL, AC na RA.

Baada ya ufafanuzi huo unataka kujua kundi lipi? waasi au mafisadi?
 
Waasi ni wale walionzisha vita ya kupinga wenzao kwamba wamewajeruhi kisiasa( kwa sababu ya kufanya wajibu wao kitaifa)na hapo ndipo matatizo yalipoanza na makundi kushamiri.kwa hili kuna jina moja tu EL rebel no1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom