Bwana Sigalla mkuu wa wilaya ya hai jisafishe kwenye ufisadi huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwana Sigalla mkuu wa wilaya ya hai jisafishe kwenye ufisadi huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by migomo ya vyuo, Oct 25, 2011.

 1. m

  migomo ya vyuo Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sigalla kwa kashifa hii huwezi kuchomoka. hii ni kwasababu umekiuka taratibu pia kutokuwa na uwazi na kutoa taarifa ya kihuni huku ukishindwa kujibu maswali yetu ya msingi ilikuwaje ukosekane uwazi katika zoezi hili la kutafuta pesa ya kujenga kidato cha tano na sita. zoezi hili ambalo mh Rais alihamasisha watu kuchangia elimu hiyo matokeo yake mkuu huyu wa wilaya kujitafutia hizo pesa na kuzielekeza kwa matumizi binafsi nilisikitika pale mkuu huyu wa wilaya alipojibu kwamba taarifa haijakamilika eti kwasababu kumbukumbu nyingine zililiwa na virusi. je inamaana kulikuwa hakuna kumbukumbu za awali? je vitabu vya risiti havikuwa na namba? je kama kumbukumbu zote hizo zimeliwa na virusi, virusi hao hao si watakula hizo pesa? tunaomba majibu ya msingi kabla hatujachukua hatua zaidi.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mkuu, unamshambulia huyu jamaa! Sijui ni kwamba unauchungu sana au ni personal! Anyway, tusubiri ajibu!
   
 3. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huyu ni mmoja wapo wa baadhi ya wakuu wa wilaya ambao ni mafisadi,hiki cheo kinatakiwa kifutwe kabisa majukumu yote ya wilaya yawe chini ya mkurugenzi wa wilaya,hivyo ni vyeo vya ulaji tu.
   
 4. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,420
  Trophy Points: 280
  Kwa ninavyomfahamu Norman ni kati ya vijana waliofanikiwa sana katika majukumu yao, hayo mengine ni mambo ya kawaida katika utendaji, kwanza kuongoza wilaya ambayo inambunge ambaye ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni inataka ujasiri na umakini wa hali ya juu! kwa kufanikiwa hilo anastahili pongezi
   
 5. i

  issenye JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
   
 6. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  DUU Kama kweli basi CCM ni chaka la wezi, Namjua ADAMSON, Norman Sigara ni mcha MUNGU mzuri sana. Lakini yote yanawezekana ndani ya MAGAMBAs .
   
 7. Baba Imani

  Baba Imani Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Norman Adamson Sigalla, Mlokole, mwenye PHD! haya bwana itaeleweka
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wewe mpumbavu sana wewe tena unachuki binafsi jana umeanzisha thread tumekuuliza maswali hujajibu una chuki zako toa li thread lako hapa mi nipo hai na hii kitu unaongea ni uongo aliyekutuma mwambie eti jf kuna wanahai mpuuzii wewe kajibu yale maswali kwenye thread ingine huna hata haya.mimi ni chadema lakini sipendi mambo ya umbea kama amekuudhi kaongee nae tumekuuliza data hujatupa halafu unaanzisha nyingine,,shame upon you cause it's obvious you have personal deals
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwani lazima ujitambulishe kuwa wewe ni chadema? ili usionekane msaliti? kwa nini usichangie tu? Sasa ndo nimeanza kuamini watu wanaogopa mpaka vitu wasivyoviona.
   
 10. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kuogopa nini,mimi nimesema ili asije m2 hapa akasema namtetea coz mimi ccm,umeelewa sasa?ukisoma post tulia kdogo itafakari,
   
 11. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  1. ... pia aliwahi kupata fursa ya kutumikia Wa-Tanzania pale tume ya uchaguzi taifa lakini hakuruhusu hata siku moja sauti ya wapiga kura kusikika.

  2. Ni wa darasa moja na Mr Nchimbi enzi hizo Mzumbe.

  3. Mwalimu wake alikua ni mtu mwadilifu sana (Dr Mbwambo), walikua mbele yetu miaka miwili, ila darasa hilo zima hivi sasa ni dhahiri kuonekana janga la taifa kila idara walikoshika.

  4. Wimbo wake miaka yote mdomoni huwa ni 'mimi usalama wa taifa' lakini bila kuonyesha salama yoyote kwa jamii yetu kwa kipindi chochote kile.

  NB: Hela za shule zirudi hadi senti ya mwisho, shule zijengwe nyingi huko Hai ili viongozi waadilifu kama Mwl Nyerere waje wapatikane; tusiamue kula mayai yote leo tukaja tukakosa kuku kesho.

   
 12. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kuwa na akili Dr. Norman ni engine muhmu sana usalama wa taifa. Na ukuu wa wilaya Hai kapewa/kawekwa maksudi kwa maslahi ya wenye Ikulu kwa ajili ya 2015 election.
   
 13. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mh! Hiyo PHD yake mimi simo maana ni kima ya VODA FASTER VILE( MUDA aliyoipata)
   
Loading...