agwedegwede
Member
- Jan 12, 2011
- 42
- 24
Kesi inayomuhusu Mbunge wa Arusha mjini Mh. Lema imehairishwa kwa mara nyingeine kutokana na kutokuwa na spika za kutangazia ili watu walio nje wasikie na ukumbI kuwa mdogo kutokana na wingi wa watu.
Hakimu amehairisha kesi mpaka kesho na ameagiza utafutwe ukumbi mkubwa. Watu wamejitokeza kwa wingi sana na kuzua taharuki.
Nawasilisha.
Hakimu amehairisha kesi mpaka kesho na ameagiza utafutwe ukumbi mkubwa. Watu wamejitokeza kwa wingi sana na kuzua taharuki.
Nawasilisha.