Dawa ya Kuondokana na Umaskini wa Tanzania ni Kuupata Huu Udongo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya Kuondokana na Umaskini wa Tanzania ni Kuupata Huu Udongo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Oct 26, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kutafakari sana bila kupata jibu japokua viongozi wetu nao pia wameshindwa kujua kwanini watanzania ni masikini kwahiyo hakuna wakutujibu na tunaelekea uzeeni tokea tumeona uhuru wa nchi hii mpaka kufikia muuangano na huku bado siku chache zimebakia kudhimisha miaka 50 ya uhuru hatutakua na jibu la kuwaadisia wajukuu zetu kwanini sisi ni masikini huku rasilimali za kila aina tunazo basi suluhisho ni hili hapa chini! Wazee wangu wameniambia huu udongo ndio suluhisho la kupata jibu kwanini sisi ni masikini! Kwanza huu udongo uko wapi? Pili wakati udongo huu unachanganywa Karume alikua wapi? Tatu hawa jamaa wawili walioshika hicho chungu kinachochanganyiwa huo udongo bado wako hai! lazima watafutwe ili watupe siri ya huu udongo! Naomba kuwasilisha hatuwezi kuendelea kuwa masiki milele.


  [​IMG]
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Itakuwa ni aibu na usanii mkubwa kama udongo huu hauko Makumbusho ya Taifa. Kutokuwepo kwa udongo huo katika makumbusho kweli ni mambo hayo hayo yanayotusababishia umasikini.
   
 3. D

  Dopas JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  karume yupo, tazama nyuma ya nyerere, upande wa kulia kwa nyerere. Majibu ya maswali mengine nitarudi baadaye.
   
 4. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Huyo mama wa kushoto alyepga goti bdo yupo hai.
  Kwa nini karume haku hucka ktk uchanganyaji wa udongo?
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kama huyo hapo nyuma ni Karume kwanini na yeye hakushirikishwa kenye kuuchanganya huo udongo? Hili tambiko linahitaji majibu yenye kina.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mi nilidhani unaongelea matatizo ya Muungano, kumbe unaongelea maendeleo ya Tanzania?
  Unamaanisha Umasikini wetu ni function ya Muungano?
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  PJ serikali hii si imeshadai kuugawa muungano ni sawa na kula nyama ya binaadamu kua hutawacha kamwe (Nukuu baba wa taifa) namaanisha maendeleo yote kwa ujumla bara na visiwani! kwani sisi bara si ndio tunawanemeesha? Kuna kitendawili kwenye hili tambiko kaka!
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuchanganya udongo kunamanisha muungano, kwa logic yako unataka kusema matatizo ya kiuchumi tuliyo nayo yanasababishwa na huu muungano au unamaana gani hapa ?
   
Loading...