Tanzania na bakuli la misaada kwa Wahisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na bakuli la misaada kwa Wahisani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Oct 27, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Tanzania imeweka sheria zinazowabana ombaomba wa barabarani(baadhi ya Raia wake) sababu muhimu ikiwa ni kwamba kwa kuwasaidia ni kuhamasisha tabia hii.

  Suala hapa na Tanzania iwekewe sheria maalumu na Nchi wahisani pamoja na mashirika za kuikataza Serikali kuomba kwao ili kuzuia au kupunguza tabia ya kutegemea misaada? Na je Tanzania kuombaomba misaada kwa Nchi wahisani ni sawa na omba omba wa barabarani?
   
 2. M

  Maengo JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndioooooooooooooooooooo. Nimepata?
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Muhimu uelewe kuwa bakuli letu la kuomba ni la dhahabu na wafadhili wanatudondoshea sarafu za shaba na silver - WHAT A SHAME!!
   
 4. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Viongozi wetu wamefanya mikataba kama ya k'peter. Mikataba mingi ni ya kilaghai ndo maana uchumi wetu una negative results.
   
Loading...